Rais Museveni akamata mashoga 490

Rais Museveni akamata mashoga 490

pumbavu, sitetei ushoga, natetea utu wao usitweze. Mkiona mtu anawatetea mnaanza kuhisi naye ni mmoja wao. Sasa mkiwaua hamuoni kuwa hayo ni makosa ya kijinai? Kuweni na akili kupambana na ushoga
Hata haki za binadamu zinajifichia kichaka icho icho cha kutetea utu wao... Je mtu kubokolewa nyuma sio kushusha utu wake..?? Sasa wewe unamteteaje wakati kashinda kutetea marinda yake.... WAle chuma ya kichwa tu.. Na inaonekana wewe balozi wao
 
Kama unabisha tuangalie majina yao wote wakristo hao na kanzu wanavaa kama wakimaanisha kama Madera sio kwamba ni waumini wa uislamu hata wewe unaweza kuvaa kanzu.

Wengine wanaona aibu kuvaa Madera kama wenzao ndo maana wanageuza kanzu kweny maujinga yao ilishapigwa marufuku...Uganda 87% mpaka 90% ni wakristo na ushoga upo kiwango cha flyover
sasa hv uganda ukristo ni 80% had 90% hakuna nchi ya hv ukanda huu wa east afrika ?
 
Hata haki za binadamu zinajifichia kichaka icho icho cha kutetea utu wao... Je mtu kubokolewa nyuma sio kushusha utu wake..?? Sasa wewe unamteteaje wakati kashinda kutetea marinda yake.... WAle chuma ya kichwa tu.. Na inaonekana wewe balozi wao
pumbavu, kakojoe ulale
 
Tunakuomba Putin na Urusi mtengeneze Bomu la kibailojia ambalo likipiga sehemu,yyte ambaye ashazibuliwa mtaro afe kwa maumivu makali.
 
Waganda huwa wanajiona ni wa ulayaulaya labda kwa sababu wanaongea lugha ya ulaya. Siku makanisa yao yenye makao makuu ulaya yakianza kufungisha ndoa za jinsia moja, uganda itakuwa ya kwanza afrika kukubali ujinga huo. Swali, ina maana uganda ina mashoga wengi afrika mashariki? Mbona inagonga sana vichwa vya habari? Anyway museveni kama kachoka kutawala aseme tu kuliko kuwasumbuasumbua mashoga, anachokitafuta atakipata, nchi wahisani wake zinazowakubali mashoga hazitamvumilia
PUMBAVU
 
Viongozi wa Africa wanatumia nguvu zote kupinga ushoga ila mambo mengine ya msingi ni kama hawayaoni. Hii ni kutafuta cheap popularity and people fall for it.

I don't condone ushoga ila same energy itumike kwenye mambo ya msingi as well.
 
pumbavu, sitetei ushoga, natetea utu wao usitweze. Mkiona mtu anawatetea mnaanza kuhisi naye ni mmoja wao. Sasa mkiwaua hamuoni kuwa hayo ni makosa ya kijinai? Kuweni na akili kupambana na ushoga
Yaani unautetea utu wa shoga?
Hivi mkuu zinakutosha kweli kichwani[emoji848]
 
Inastahili kuwatoa mhanga ili kuokoa kizazi kizima na janga la ushoga. Hitler aliwaua kama alivyofanya kwa mayahudi. Ila kwa karne ya sasa yafaa kuwakamata na kuwafunga magereza ya peke yao vifungo vya maisha. Ushoga ni vigumu kutibika kwa hivyo ni kuwatenga tu ili kuokoa kizazi kisiharobiwe.
Ukiwaua wanazaliwa wengine wapya [emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]

Utakuwa unaziba maji kwa nyavu.

Na nyie ndo wazazi wa mashoga.
 
Waganda wenyewe wamebaki wanashangaa hizi taarifa zimetoka wapi, mpaka wanahisi labda kuna Uganda nyingine
 
Msiishinikize serikali iige abrakadabra za museveni. Kuna mambo mengi ya msingi serikali inatakiwa ifanye. Ushoga waachiwe wanadini huko makanisani na misikitini, kuna pia wasioenda huko mila zao zishughulike kuwaonya watu wao. Ushoga upo kitambo tu hatukuona upigiwe kelele kama sasa. Maji yamezidi unga ndio sasa tunaona kila aina ya unafiki juu ushoga unaongelewa. Kwani kulikuwa hakuna makatazo ya ulawiti/ufiraji kwenye biblia? Mkaishia kuhubiri utoaji na baraka huku dhambi hiyo ikifumbiwa macho bila kuhubiriwa makatazo yake. Kila mtu sasa anakurupuka tu kuongelea mapenzi ya jinsia moja bila aibu, tena kwa watoto wadogo kwa minajili ya kuonya kumbe ndio kwanza anakoleza moto, watoto wanaenda kujaribu hicho kinachosemwasemwa sana. Jamii imechanganyikiwa na imehamaki haijui ianzie wapi kuzima ushoga.
Usha left group mda sana admin m7
 
Back
Top Bottom