pumbavu, mlitaka tuwaze pamoja na tuwe na msimamo mmoja? Siungi mkono ushoga ila lazima tutofautiane approach namna ya kupambana na ushoga. Hizo njia zenu mnazotaka ni za kijinai
Tangu lini Afrika ikawa na sayansi?
Washughulikiwe kianalogi hivyo hivyo.
Sodoma Mungu yeye alipiga kiberiti mji wote. Sasa hivi Museven hachomi mji ila anawawashia moto wahusika tu hadi wajute.