Rais Museveni amteua mwanae Muhoozi Kainerugaba kuwa CDF

Pale Uganda hakuna wa kumsema Museveni, amewashikilia kote kote, yaani kuna kipindi niliishi pale hata kumtaja jina hatajwi hovyo, hata kwenye ulevi, ukilewa humtaji jina utakavyo. Nilijaribu kujadili nao siasa za kwao, aisei walikua wanaongea kwa uwoga uwoga....ikabidi na mimi niufyate.
 
Mi najiuliza hiv ukishakuwa rais ndugu zako na wanao wanakosa sifa za kuwa viongoz?
Hapana,Inatagemea tu nchi na nchi. Kuna nchi unaweza kuteua hata ukoo wako mzima madarakani ukakuzunguka na mkarithishana hayo madaraka, kuna nchi mifumo yake haitakuwezesha kufanya hivyo.
 
Ni kweli hata mimi nililiona hilo nilipokuwa pale Kampala
 
Bado mama Samia tu amteue mwanaye ili EAC uwe ukanda wa kifalme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…