Rais Museveni amteua mwanae Muhoozi Kainerugaba kuwa CDF

View attachment 2941399
AFPCopyright: AFP
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, amemteua mtoto wake, Jenerali Muhoozi Kainerugaba kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF).Gazeti la Daily Monitor la Uganda limeripoti.

Anachukua nafasi ya Jenerali Wilson Mbasu Mbadi ambaye ameteuliwa kuwa Waziri wa biashara katika mabadiliko mapya ya safu ya Baraza la mawaziri lililotangazwa karibuni.

Jenerali Muhoozi alikuwa akihudumu nafasi ya mshauri mkuu wa Rais katika masuala ya operesheni maalumu
Mke wake ndo waziri wa elimu na michezo, pole sana waganda tunajua mnaumia ila mpaka mumwage damu kujikomboa na mkoloni wa Kitusi.
 
Yajayo yanafurahisha nchini Uganda.

Uteuzi wa Kainerubaga Muhoozi umetagazwa leo usiku wa manane. Aliyekuwa mkuu wa majeshi ameteuliwa kuwa waziri wa nchi.

Kuna tetesi nchini Uganda kuwa Rais anamuandaa mwanaye kuwa Rais.

Kabla ya hapo General Muhoozi alikuwa mkuu wa kikosi maalum cha ulinzi wa Rais na Special security force for installations.

Source: BBC Swahili.
Sio tetesi mbona kijana kaishawrka wazi akitoka baba yake yeye ndio anspokea kijiti
 
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amemteua Mtoto wake Jenerali Muhoozi Kainerugaba kuwa Mkuu mpya wa Majeshi (CDF) Nchini Uganda akichukua nafasi ya Jenerali Wilson Mbasu Mbadi ambaye ameteuliwa kuwa Waziri anayehusika na masuala ya biashara kwenye mabadiliko mapya aliyofanya katika Baraza la Mawaziri la Nchi hiyo usiku huu.

Muhoozi aliwahi kuwa kwenye nafasi ya Ukamanda wa Jeshi la Ardhini la Uganda lakini October 04,2022 Museveni aliamua kumuondoa na nafasi yake ikachukuliwa na Meja Jenerali Kayanja Muhanga ambaye alikuwa Kamanda wa Opereshemi Shujaa inayoendeshwa Nchini DRC.

Millard Ayo
Watutsi ni wabinfsi sana,ameifanya Uganda kuwa Falme badala ya Jamhuri.
 
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amemteua Mtoto wake Jenerali Muhoozi Kainerugaba kuwa Mkuu mpya wa Majeshi (CDF) Nchini Uganda akichukua nafasi ya Jenerali Wilson Mbasu Mbadi ambaye ameteuliwa kuwa Waziri anayehusika na masuala ya biashara kwenye mabadiliko mapya aliyofanya katika Baraza la Mawaziri la Nchi hiyo usiku huu.

Muhoozi aliwahi kuwa kwenye nafasi ya Ukamanda wa Jeshi la Ardhini la Uganda lakini October 04,2022 Museveni aliamua kumuondoa na nafasi yake ikachukuliwa na Meja Jenerali Kayanja Muhanga ambaye alikuwa Kamanda wa Opereshemi Shujaa inayoendeshwa Nchini DRC.

Millard Ayo
Power transfer.....
 
Yajayo yanafurahisha nchini Uganda.

Uteuzi wa Kainerubaga Muhoozi umetagazwa leo usiku wa manane. Aliyekuwa mkuu wa majeshi ameteuliwa kuwa waziri wa nchi.

Kuna tetesi nchini Uganda kuwa Rais anamuandaa mwanaye kuwa Rais.

Kabla ya hapo General Muhoozi alikuwa mkuu wa kikosi maalum cha ulinzi wa Rais na Special security force for installations.

Source: BBC Swahili.
Yuko sahih kbsaa mzee museveni
 
Sema kwasababu kiafrica ukiwa kiongoz unageuka mfereji wa familia lakin ukweli ndani ya familia wakati mwingine kuna watu ni Smart sana basi tu kiafrica Africa inaonekana sio.
 
Back
Top Bottom