Mkwere ana ushwashwi kwa sasa, ana nguvu kubwa as long chama dola bado kina nguvu kubwa ila anajua pia historia ya bongo ni tofauti sana na huko kwingine hivyo lazima acheze kwa akili kubwa sana.Unaionaje nguvu ya mkwere?
Sio rahisi kwani hata mgambo hajawahi kupitia. Labda waziri mkuu au makamu wa RaisNa huku Bado kidongo nchengerwa ateuliwe kuwa CDF
Anaweza akatuchomekea February and then his son anakuwa PMMkwere ana ushwashwi kwa sasa, ana nguvu kubwa as long chama dola bado kina nguvu kubwa ila anajua pia historia ya bongo ni tofauti sana na huko kwingine hivyo lazima acheze kwa akili kubwa sana.
Huwa najiuliza kwanini Rais usiachie madaraka muda wako unapopita then uendelee kula bata kama maraisi wetu hapa bongo,hawaoni mifano wakina JK wanavyofurahia maisha yao,mtu yuko huru anajichanganya mpk na watu wa kawaida hana hofu hata kidogo...Vurugu linanyemelea Uganda
Ila demu wewe ni takatakaRais Yoweri Museveni amemteua mtoto wake General Muhozi Kainerugaba kuwa Mkuu wa Jeshi la Uganda
Halafu kuna Watu hapa Tanzania utawasikia wanadai Freeman Mbowe anapendelewa na mh Edwin Mtei
Jumaa Mubarak 😄🔥
Bongo namba 1 ndio kila kitu.Anaweza akatuchomekea February and then his son anakuwa PM
Sio mifumo ishu ni kwamba Africa tunaishi kwa kuangalia mapungufu zaid kuliko faida so hatutakaa tupate maendeleo maana kila binadamu ana mapungufu.Hapana,Inatagemea tu nchi na nchi. Kuna nchi unaweza kuteua hata ukoo wako mzima madarakani ukakuzunguka na mkarithishana hayo madaraka, kuna nchi mifumo yake haitakuwezesha kufanya hivyo.
Putin, Lukashenko sio waafrica.Africa kuna ujinga Sana MTU mmoja anakuwa raisi miaka zaidi ya 30
Inategemea namna na kiwango ulichokwapua na kuumiza watu ukiwa mamlakani na pia uhakika wa kulindwa na mwingine atakayekurithi.Huwa najiuliza kwanini Rais usiachie madaraka muda wako unapopita then uendelee kula bata kama maraisi wetu hapa bongo,hawaoni mifano wakina JK wanavyofurahia maisha yao,mtu yuko huru anajichanganya mpk na watu wa kawaida hana hofu hata kidogo...
Wanaolalamika Mtei kumpendelea Mbowe watakuwa hawana akili, maana chama ni cha kwake na nyumbu wote ni wa kwake. Yeye ndo aliemkabidhi Mbowe hao nyumbu ili aendelee kuwatumia mitandaoni kwa ajili ya masilahi yake ya kisiasa.Rais Yoweri Museveni amemteua mtoto wake General Muhozi Kainerugaba kuwa Mkuu wa Jeshi la Uganda
Halafu kuna Watu hapa Tanzania utawasikia wanadai Freeman Mbowe anapendelewa na mh Edwin Mtei
Jumaa Mubarak 😄🔥
UnajidanganyaExactly.....nchi itatumbukia kwenye machafuko. It is a matter of time
Faida ya kuwaweka ndugu na watoto zako katika nafasi nyeti za mamlaka ni zipi?Sio mifumo ishu ni kwamba Africa tunaishi kwa kuangalia mapungufu zaid kuliko faida so hatutakaa tupate maendeleo maana kila binadamu ana mapungufu.
Sio kazi rahisi, hata hapa Bongo ni katiba imewabana. Embu atokee mbunge apendekeze mihula minne. Rais atakubali na atampa uwaziri kipindi chake choteHuwa najiuliza kwanini Rais usiachie madaraka muda wako unapopita then uendelee kula bata kama maraisi wetu hapa bongo,hawaoni mifano wakina JK wanavyofurahia maisha yao,mtu yuko huru anajichanganya mpk na watu wa kawaida hana hofu hata kidogo...