Mke wake ndo waziri wa elimu na michezo, pole sana waganda tunajua mnaumia ila mpaka mumwage damu kujikomboa na mkoloni wa Kitusi.View attachment 2941399
AFPCopyright: AFP
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, amemteua mtoto wake, Jenerali Muhoozi Kainerugaba kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF).Gazeti la Daily Monitor la Uganda limeripoti.
Anachukua nafasi ya Jenerali Wilson Mbasu Mbadi ambaye ameteuliwa kuwa Waziri wa biashara katika mabadiliko mapya ya safu ya Baraza la mawaziri lililotangazwa karibuni.
Jenerali Muhoozi alikuwa akihudumu nafasi ya mshauri mkuu wa Rais katika masuala ya operesheni maalumu
Bado tunaendeleza siasa zetu za kiafrika zaidi...Mke wake ndo waziri wa elimu na michezo, pole sana waganda tunajua mnaumia ila mpaka mumwage damu kujikomboa na mkoloni wa Kitusi.
Sio tetesi mbona kijana kaishawrka wazi akitoka baba yake yeye ndio anspokea kijitiYajayo yanafurahisha nchini Uganda.
Uteuzi wa Kainerubaga Muhoozi umetagazwa leo usiku wa manane. Aliyekuwa mkuu wa majeshi ameteuliwa kuwa waziri wa nchi.
Kuna tetesi nchini Uganda kuwa Rais anamuandaa mwanaye kuwa Rais.
Kabla ya hapo General Muhoozi alikuwa mkuu wa kikosi maalum cha ulinzi wa Rais na Special security force for installations.
Source: BBC Swahili.
Kwa WaafrikaUongozi uliopatikana kwa bunduki hautolewi kwa karatasi!
Kwani alieruhusu CDM kuwa na mwenyekiti wa kifalme ni akina nani?KATIBA! KATIBA! KATIBA! Urais wa kifalme!
Unashangaa nini wakati yule DUdley ndio mrithi wa pale UFIPAPutin yuko africa?
Watutsi ni wabinfsi sana,ameifanya Uganda kuwa Falme badala ya Jamhuri.
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amemteua Mtoto wake Jenerali Muhoozi Kainerugaba kuwa Mkuu mpya wa Majeshi (CDF) Nchini Uganda akichukua nafasi ya Jenerali Wilson Mbasu Mbadi ambaye ameteuliwa kuwa Waziri anayehusika na masuala ya biashara kwenye mabadiliko mapya aliyofanya katika Baraza la Mawaziri la Nchi hiyo usiku huu.
Muhoozi aliwahi kuwa kwenye nafasi ya Ukamanda wa Jeshi la Ardhini la Uganda lakini October 04,2022 Museveni aliamua kumuondoa na nafasi yake ikachukuliwa na Meja Jenerali Kayanja Muhanga ambaye alikuwa Kamanda wa Opereshemi Shujaa inayoendeshwa Nchini DRC.
Millard Ayo
Power transfer.....

Siyo watoto wake bali anawaona kama mifugo yakeHahahahaha M7 huyu mzee anawaona waganda km watoto wake ...
M7 aliingia madarakani 1984 huu ni mwaka wa 40 sasa.Africa kuna ujinga Sana MTU mmoja anakuwa raisi miaka zaidi ya 30
Namkubali sna generally huyo kawatushiaa Kenya ,wakenya wakafyataHivi so huyu alisema anaweza kuiteka Nairobi ndani ya masaa 3 tu?
Yuko sahih kbsaa mzee museveniYajayo yanafurahisha nchini Uganda.
Uteuzi wa Kainerubaga Muhoozi umetagazwa leo usiku wa manane. Aliyekuwa mkuu wa majeshi ameteuliwa kuwa waziri wa nchi.
Kuna tetesi nchini Uganda kuwa Rais anamuandaa mwanaye kuwa Rais.
Kabla ya hapo General Muhoozi alikuwa mkuu wa kikosi maalum cha ulinzi wa Rais na Special security force for installations.
Source: BBC Swahili.
Ila pmj na Mambo mengine ameipeleka nnchi ktk uchumi wa Kati upper middle incomeSiku mu7 akifa tutasikia sifa zake toka kwa viongozi wakiafrica.
Hapo Sasa mm hata nikiwa meya tu nitafanya jitiada mtoto wangu aje kuridhi udiwani [emoji23][emoji16]Mi najiuliza hiv ukishakuwa rais ndugu zako na wanao wanakosa sifa za kuwa viongoz?
Putin amekuwa Rais kwa miaka mingapi?Putin yuko africa?
Hahahahaha. Dah...hv wazee wenzake waliopambana wote wanamuonaje sijuiSiyo watoto wake bali anawaona kama mifugo yake