Nchi sio familia, haifanani hata kidogo na familia, nchi inatakiwa iendeshwe kwa katiba na utaratibu ambao watu wengi wameafikiana na kukubaliana nazo ziwaongoze, sio kujifanyia mambo kienyeji tu kadri mtu anavyojisikia akiamka.Sema kwasababu kiafrica ukiwa kiongoz unageuka mfereji wa familia lakin ukweli ndani ya familia wakati mwingine kuna watu ni Smart sana basi tu kiafrica Africa inaonekana sio.
Jana kashinda tena mitano minginePutin amekuwa Rais kwa miaka mingapi?
The Beginning of the End!
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amemteua Mtoto wake Jenerali Muhoozi Kainerugaba kuwa Mkuu mpya wa Majeshi (CDF) Nchini Uganda akichukua nafasi ya Jenerali Wilson Mbasu Mbadi ambaye ameteuliwa kuwa Waziri anayehusika na masuala ya biashara kwenye mabadiliko mapya aliyofanya katika Baraza la Mawaziri la Nchi hiyo usiku huu.
Muhoozi aliwahi kuwa kwenye nafasi ya Ukamanda wa Jeshi la Ardhini la Uganda lakini October 04,2022 Museveni aliamua kumuondoa na nafasi yake ikachukuliwa na Meja Jenerali Kayanja Muhanga ambaye alikuwa Kamanda wa Opereshemi Shujaa inayoendeshwa Nchini DRC.
Millard Ayo
Pia soma:
Jenerali Muhoozi Kainerugaba ni dhahiri sasa amelewa madaraka. Ni kweli kwamba hajui madhara ya kauli aliyotoa kuhusu kuivamia Kenya?
Mtoto wa Museveni atangaza kugombea Urais 2026
🙄Hahahahaha M7 huyu mzee anawaona waganda km watoto wake ...
Ila M7 , Kagame, Paul Biya .wamegeuza nchi zao mali ya binafsiMadaraka matamu sana mkuu
Demokrasia tuwaachie yuesi
Kenya kazi wanayo😁Ndio huyo huyo.
Ndio maana linchi lake likubwa lenye kila rasilimali limeachwa mbali sana kiuchumi hata na vinchi vidogo vidogo kama Japan, Ujerumani, Italia na UingerezaPutin amekuwa Rais kwa miaka mingapi?
Wengi hawajui hilo, ila Kagame ni mjomba wao yule na mjomba ni mamaFamilia ya Museveni ni family friend wa familia ya Kagame. Watoto wa Museveni wanamchukulia Kagame kama baba mzazi.
Na aliyeruhusu ccm kujimilikisha Tanzania kuwa mali yake milele ni nani.Kwani alieruhusu CDM kuwa na mwenyekiti wa kifalme ni akina nani?
Russia pamoja na ukubwa wake wote na rasilimali lukuki kushinda nchi yoyote duniani lakini inazidiwa na kanchi kadogo kama South Korea au Japan nchi ambazo kupata hata kokoto tu ni shida kama ilivyo upatikanaji wa umeme au maji katika Tanzania.Ndio maana linchi lake likubwa lenye kila rasilimali limeachwa mbali sana kiuchumi hata na vinchi vidogo vidogo kama Japan, Ujerumani, Italia na Uingereza
Ni kwa vile demokrasia zetu hazijakua na elimu zetu ni ndogo. Kwa Africa uongoz ni fursa tofauti na wazungu kwao uongoz ni legacy. Unaweza kuwa na baba rais akaja mtoto na hata mjukuu ishu ni kuwa ni kiongoz au ni fursa kama kampuni ya kurithiNchi sio familia, haifanani hata kidogo na familia, nchi inatakiwa iendeshwe kwa katiba na utaratibu ambao watu wengi wameafikiana na kukubaliana nazo ziwaongoze, sio kujifanyia mambo kienyeji tu kadri mtu anavyojisikia akiamka.
Kama kuna mtu anafikiria kwamba ni familia ya Museveni tu ndio ina hati miliki na maono ya kuweza kuiongoza Uganda basi ni dhihirisho la ufinyu wa fikra kwa mtu huyo.Museveni amejifunza kitu kutoka Tanzania baada ya Kifo cha Magufuli.
Kiuhalisia hakukuwa na Humuimu wa kumwachia Rais Samia madaraka hata kama alikuwa ni Makamu, kulikuwa kuna nafasi kubwa sana ya viongozi wengine kuchukua madaraka kama wangekuwa na ushawishi Jeshini.
Tanzania tuna mfumo mzuri sana na imara wa kupokezana madaraka kutoka CCM kwenda CCM, sio rahisi mtu mmoja kubaki na nguvu kubwa baada ya kumaliza Urais wake.
Tanzania tunachokosa ni viongozi wazuri kupokezana madaraka, yaani Baada ya Nyerere alipaswa aje Mkapa au Mtu kama Magufuli baada yake aje Makonda/Bashiru/Majaliwa/Mpina/Lissu kama angekuwa na malezi ya Nyerere/Mkapa au Magufuli tungekuwa sawa na China au Mataifa ya Ulaya kwa Maendeleo.
Bahati mbaya tuna sequence ya ovyo sana kwenye kuachiana madaraka, imagine Baada ya Mkapa tukapata Kikwete now tuna Samia, just imagine.
Museveni ameona hili na anataka kuwe na consistency ya Itikadi
Unaumwa mavi wewe mbwa,unapata furaha gani ukiona watu wakiteseka kwa kisingizio cha maendeleo ndiyo maana watu walifurahi sana baada ya yule mbwa mwenzenu kufa.Museveni amejifunza kitu kutoka Tanzania baada ya Kifo cha Magufuli.
Kiuhalisia hakukuwa na Humuimu wa kumwachia Rais Samia madaraka hata kama alikuwa ni Makamu, kulikuwa kuna nafasi kubwa sana ya viongozi wengine kuchukua madaraka kama wangekuwa na ushawishi Jeshini.
Tanzania tuna mfumo mzuri sana na imara wa kupokezana madaraka kutoka CCM kwenda CCM, sio rahisi mtu mmoja kubaki na nguvu kubwa baada ya kumaliza Urais wake.
Tanzania tunachokosa ni viongozi wazuri kupokezana madaraka, yaani Baada ya Nyerere alipaswa aje Mkapa au Mtu kama Magufuli baada yake aje Makonda/Bashiru/Majaliwa/Mpina/Lissu kama angekuwa na malezi ya Nyerere/Mkapa au Magufuli tungekuwa sawa na China au Mataifa ya Ulaya kwa Maendeleo.
Bahati mbaya tuna sequence ya ovyo sana kwenye kuachiana madaraka, imagine Baada ya Mkapa tukapata Kikwete now tuna Samia, just imagine.
Museveni ameona hili na anataka kuwe na consistency ya Itikadi
Ndio maana linchi lake likubwa lenye kila rasilimali limeachwa mbali sana kiuchumi hata na vinchi vidogo vidogo kama Japan, Ujerumani, Italia na Uingereza
Russia pamoja na ukubwa wake wote na rasilimali lukuki kushinda nchi yoyote duniani lakini inazidiwa na kanchi kadogo kama South Korea au Japan nchi ambazo kupata hata kokoto tu ni shida kama ilivyo upatikanaji wa umeme au maji katika Tanzania.