Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Tunataka habari za maendeleo, sio za ushoga. Ni upuuzi wa kiwango cha lami kwa mataifa maskini kama ya Africa kujikita kwenye ushoga. Hatuna luxury hiyo.
Sijui kwanini pro US mnakatisha tamaa Sana viongozi wanaojitahidi kudhibiti ushoga! Mkiitwa mashoga mnachukia, Sasa Nini tafsiri ya ulichokoment?