Rais Museveni aonyesha mfano

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Rais wa uganda amekuwa akishiriki shughuli za kilimo na uzalishaji ktk maeneo mbali mbali vijijini nchini uganda bila kujali cheo chake au utukufu wake,hapo chini anatoka kuchota maji ya kwenda kumwagilia mimea
 
Mzee anagani kuliko hata Nikki Mbishi
 
Huyu sio kiongozi wa kumsifia hata siku moja..
Ni mkandamizaji mkubwa Wa Demokrasia na kila siku kazi yake ni kukimbizana na wapinzani wake pale Uganda.
 
Sawa hiyo ni imagine yenu na hakuna wa kuwazuieni kwa sababu Mungu aliwapa midomo ya kuongelea
 
Huyu sio kiongozi wa kumsifia hata siku moja..
Ni mkandamizaji mkubwa Wa Demokrasia na kila siku kazi yake ni kukimbizana na wapinzani wake pale Uganda.
Huo ndio utamaduni wa viongozi wengi wa Afrika
 
Kagame huwa anafanya usafi mwisho wa mwezi seriously ila wengine hawa mauzo tu
 
Kagame huwa anafanya usafi mwisho wa mwezi seriously ila wengine hawa mauzo tu
Kagame yupo vizuri pamoja na madhaifu yake lkn uongo anauweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…