johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Yuko sahihi kabisa ndio sababu akina Lucas Mwashambwa wamejisajili CHAWA FC Ili kuukimbia Umaskini Uliotukuka 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunazungumzia Kauli za Kejeli kwa maskini usihamishe magoli.Watu wanatekwa ni drama harafu hoyo aliosema hayo ni mseven sio JPM
Na wewe kunguni grade 2 ni another hopeless dunderhead.Kwa hiyo kama ni Kodi wewe ndio unaziratibi n kuzipanhia matumizi?
Umewahi ona nani anatoa Kodi Kwa hiari? Mbona huendi kujitolea kwenye miradi ?
Mwisho ukute hata Kodi yenyewe hutoi ila unabwatuka upuuzi hapa.
My Take
Sina hakika kama wanajua ugumu wa utafutaji bila kutegemea mbeleko za Serikalini/siasa .👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DGh7le-KXps/?igsh=MWlwYTRyNXpud2M1eQ==
Anampelekesha kweli swaiba wake kiza 😄Miongoni mwa maraisi wa hovyo ni huyo babu kizee, sijui anafanya nn madarakani hadi Leo hii
Mimi sio chadema mkuu tatizo mtu asipokuwa chawa kama nyie mnamwona chademaTunazungumzia Kauli za Kejeli kwa maskini usihamishe magoli.
Nyie Machadema hata mkitekwa sawa tuu mtajuana huko huko nyie si Wanasiasa?
Jibu maswali yangu hajuu kama huwezi mkasimuliane upuuzi na punguani wenzakoNa wewe kunguni grade 2 ni another hopeless dunderhead.
Magu Aliwahi waambia Maskini wa Kigamboni wapige mbizi kama wanaona 200 ni kubwa kulipia kivuko 😂😂Mimi sio chadema mkuu tatizo mtu asipokuwa chawa kama nyie mnamwona chadema
Njaa huwa inakuja na maelekezo mkuu.Kumbe akili unazo mkuu lucas na sema uwa unajitoa ufahamu
Ongeza mengineMagu Aliwahi waambia Maskini wa Kigamboni wapige mbizi kama wanaona 200 ni kubwa kulipia kivuko 😂😂
Aliwahi waambia watu kama wanaona maisha magumu (vyuma kukaza) waweke grisi 😁😁Ongeza mengine
Angalia video hiyo mratibu wa kodi kama unavyosema anaruhusu watu wajipimie kwa urefu wa kamba zao [waibe kwa kiasi] ili wasivimbiweJibu maswali yangu hajuu kama huwezi mkasimuliane upuuzi na punguani wenzako
Sema magufuli alibugi kuasisi huu mfumo wa machawa kama wewe kupewa kitu kidogoMagu Aliwahi waambia Maskini wa Kigamboni wapige mbizi kama wanaona 200 ni kubwa kulipia kivuko 😂😂
Sasa hapa Kuna shida gani? Wewe hapo unataka ule kulingana na urefu wa kamba ya nani?Angalia video hiyo mratibu wa kodi kama unavyosema anaruhusu watu wajipimie kwa urefu wa kamba zao [waibe kwa kiasi] ili wasivimbiwe
Huko ndio kuupiga mwingi si ndio?
View attachment 3250310
Hapa ndipo upunguani wenu ulipo,napewa nini n unaweza thibitisha?Sema magufuli alibugi kuasisi huu mfumo wa machawa kama wewe kupewa kitu kidogo
Kwahiyo wewe umeshajipimia kunguni wa mama Abdul?Sasa hapa Kuna shida gani? Wewe hapo unataka ule kulingana na urefu wa kamba ya nani?
Ana roho mbaya sana huyu ni mfano wa viongozi wa kidikteta walioamua kufia madarakaniAnampelekesha kweli swaiba wake kiza 😄
Hamuonei huruma
Ova
Ametajwa wapi huyu mtu?Chuki peleka kwa waliokusababishia umaskini sio kulaumu Samia
Kabisa hafai hata kusikilizwa maana ni Mzee aliyekosa hekima anapenda tu madaraka na Yuko tayari hata kuua ili abaki madarakaniYaani huyu babu ni zaidi ya shetani