Rais Museveni na watu wa Uganda waungwe mkono, asema Mufti Mkuu wa Oman

Unaongelea msaada au mkopo?

Waarabu hawatoi msaada halafu uulipe, kwao msaada ni sadaka.


Waarabu siyo wazungu wanaokukaanga kwa mafuta yako.
Nafanya mishe kiwanja x cha mwewe sasa wale jamaa wakija waarabu mnapanga mstari mnakatiwa hela nzuri tu ya kula 😀 unaona sheikh maamae kapiga kilemba ile yenyewe anakuja na mpunga mlipo, akianza kugawa unaskia anasema bismillah😂😂
 
Sijakuelewa.

Na wewe ni walewale?
 
Unajua wanaamini Christians wanaunga mkono huu ushetani kumbe sivyo, pia angeweza kumpongeza mzee mseven pasipo kuattach na kitu kingne. Ila she is doing gud kupinga ushoga
Tushawazoea hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…