FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
- Thread starter
- #21
Nilisema mtakuja.Huyo mufti mwenyewe salama? Yaani hajasikia habari zooote za maendeleo Africa, uzuri wa Zanzibar, vita vya Sudan nk nk. Lakini habari za kufiranaa kapata haraka hivi? Huyu vipi? Nina wasiwasi na huyu babu.
Binafsi namuunga mkono Museveni 100%.
vipi wewe?