kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Tumuache Mungu ahukumu, huenda Mungu anachukizwa na uzinifu kuliko ushoga. Ushoga ni ugunduzi wa binadamu. Walipogundua tuliwaacha tu katika jumuiya, leo hii tunawapiga Vita, waende wapi? Ni binadamu kama sisi.