binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Bila shaka unafanya kazi KIA. 😊Nafanya mishe kiwanja x cha mwewe sasa wale jamaa wakija waarabu mnapanga mstari mnakatiwa hela nzuri tu ya kula 😀 unaona sheikh maamae kapiga kilemba ile yenyewe anakuja na mpunga mlipo, akianza kugawa unaskia anasema bismillah😂😂