Rais Mwanamke? Marekani sio wajinga

Rais Mwanamke? Marekani sio wajinga

Justine Marack

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
612
Reaction score
1,698
Utafiti Marekani ya 73 kati ya 143 zenye uwezekano wa kuwa na Rais mwanamke.

Hii ilijidhihirisha pale tuliona Trump mwenye sera Tata akinyakua kiti dhidi ya Hilary Clinton (Mwanamke).

Ni vema tunapoamua kujifunza Kwa wakubwa Hawa basi tujifunze Kila kitu.

Vitabu vya torati navyo haviko kimya vinasema wazi. Ni vema tufuate torati sawasawa

Ni wakati wa Kufuata torati. Tanzania ya Torati ni Sasa.

Tuige Marekani kama tulivyoiga kwenye Umeme.

Niwatakie Torati njema wakulungwa wenzangu.
 
Naona watumishi mnamakasiriko baada ya Jambo lenu na mama kwenda mrama.
 
Utafiti Marekani ya 73 kati ya 143 zenye uwezekano wa kuwa na Rais mwanamke.

Hii ilijidhihirisha pale tuliona Trump mwenye sera Tata akinyakua kiti dhidi ya Hilary Clinton( Mwanamke).

Ni vema tunapo amua kujifunza Kwa wakubwa Hawa basi tujifunze Kila kitu.

Vitabu vya torati navyo haviko kimya vinasema wazi.
Ni vema tufuate torati sawasawa

Ni wakati wa Kufuata torati.
Tanzania ya Torati ni Sasa.

Tuige Marekani kama tulivyoiga kwenye Umeme.

Niwatakie Torati njema wakulungwa wenzangu.
Mkuu ni vyema ukajiandaa tu kisaikolojia, kwa maana mama SSH yupo sana kama Rais wako mpaka 2030.
 
Wafuasi wa jiwe mtakoma, Uingereza, Ujerumani mbona huzitolei mfano? ....Samia hadi 2030 labda kifo kitutenganishe
 
Hujui ulitakalo wewe, baadaye utakuja kusema bora Rais Samia. Acha nongwa, muunge mkono Rais aendelee kutatua changamoto.

Hata nyumbani changamoto zipo ila Baba hafukuzwi na familia.
 
Walimu tuna jambo letu
IMG-20220723-WA0030.jpg
 
Binafsi siamini kabisa katika kuongozwa na Rais mwanamke kwa vile Mwalimu wangu wa Psychology aliniambia kimaumbile mwanamke hutumia Moyo na hisia kufikiri na kuamua tofauti na mwanaume hutumia ubongo
mf boss mwanamke ukimchukiza atakuhamisha kituo au atakufukuza kazi
boss mwanamume ukimchukiza atakuita mdiscuss unavyomboa na kuharibu kazi!

Boss mwanamke ukimkosoa inamuuma na kumkaa na atajibu ila boss mwanaume OG ukimkosoa ataijadili issue bila kukuchukia na atarekebisha na kukusifu uliemkosoa!

itapendeza akiwarudishia kijiti chao 2025 muda wao bado ni vile tu kaokota Dodo!

But for now sina la kufanya Mama anaupiga mwingi naangalia tu ataendaje ila uchumi unashuka kwa kasi kwa Takwimu za World Bank.
 
Utafiti Marekani ya 73 kati ya 143 zenye uwezekano wa kuwa na Rais mwanamke.

Hii ilijidhihirisha pale tuliona Trump mwenye sera Tata akinyakua kiti dhidi ya Hilary Clinton (Mwanamke).

Ni vema tunapoamua kujifunza Kwa wakubwa Hawa basi tujifunze Kila kitu.

Vitabu vya torati navyo haviko kimya vinasema wazi. Ni vema tufuate torati sawasawa

Ni wakati wa Kufuata torati. Tanzania ya Torati ni Sasa.

Tuige Marekani kama tulivyoiga kwenye Umeme.

Niwatakie Torati njema wakulungwa wenzangu.
Kilio cha samaki akinaswa kwenye ndoano.
 
Hapa sasa unamlaumu nani wakati kilichoamua ni katiba?
 
Back
Top Bottom