Rais Mwanamke? Marekani sio wajinga

Rais Mwanamke? Marekani sio wajinga

Tukipiga makelele ya kuhitaji katiba mpya mnatuona sisi ni walafi wa madaraka
 
Utafiti Marekani ya 73 kati ya 143 zenye uwezekano wa kuwa na Rais mwanamke.

Hii ilijidhihirisha pale tuliona Trump mwenye sera Tata akinyakua kiti dhidi ya Hilary Clinton (Mwanamke).

Ni vema tunapoamua kujifunza Kwa wakubwa Hawa basi tujifunze Kila kitu.

Vitabu vya torati navyo haviko kimya vinasema wazi. Ni vema tufuate torati sawasawa

Ni wakati wa Kufuata torati. Tanzania ya Torati ni Sasa.

Tuige Marekani kama tulivyoiga kwenye Umeme.

Niwatakie Torati njema wakulungwa wenzangu.
Vipi German iliyokuwa na Chancellor Angela Merkel kwa miaka zaidi ya 17? Au vipi Israel ya Golda Meir miaka ya mwisho ya 1960s.

Je umewahi kufuatilia mafanikio ya hao viongozi 2 ukalinganisha na wanaume ?
 
Back
Top Bottom