Justine Marack
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 612
- 1,698
Iga weye!Na ushoga wa Marekani pia mtaiga
Hapana, tuchague vya kujifunza, mengine tuwaachie wenyewe. Wanaume wanaolewa na wanaume wenzao huko.Ni vema tunapo amua kujifunza Kwa wakubwa Hawa basi tujifunze Kila kitu
Mkuu ni vyema ukajiandaa tu kisaikolojia, kwa maana mama SSH yupo sana kama Rais wako mpaka 2030.Utafiti Marekani ya 73 kati ya 143 zenye uwezekano wa kuwa na Rais mwanamke.
Hii ilijidhihirisha pale tuliona Trump mwenye sera Tata akinyakua kiti dhidi ya Hilary Clinton( Mwanamke).
Ni vema tunapo amua kujifunza Kwa wakubwa Hawa basi tujifunze Kila kitu.
Vitabu vya torati navyo haviko kimya vinasema wazi.
Ni vema tufuate torati sawasawa
Ni wakati wa Kufuata torati.
Tanzania ya Torati ni Sasa.
Tuige Marekani kama tulivyoiga kwenye Umeme.
Niwatakie Torati njema wakulungwa wenzangu.
Kosa si lake .kosa ni aliyefanya mizaha ya kukubari kufa kijinga!!Binafsi naona Tz ilikuwa bado kabisa, Mama kazidiwa na "miluzi mingi"
ha ha ha!! yaani wamechukia balaa! kila nyumba yenye mtumishi wa Mama kelele kibao hadi wanaboa!Naona watumishi mnamakasiriko baada ya Jambo lenu na mama kwenda mrama.
Hata kwa jeki ngumu kupenye,kupenya kuna taka kichaaTupo na Mama mpaka 2030.
#SSH 2030
Kilio cha samaki akinaswa kwenye ndoano.Utafiti Marekani ya 73 kati ya 143 zenye uwezekano wa kuwa na Rais mwanamke.
Hii ilijidhihirisha pale tuliona Trump mwenye sera Tata akinyakua kiti dhidi ya Hilary Clinton (Mwanamke).
Ni vema tunapoamua kujifunza Kwa wakubwa Hawa basi tujifunze Kila kitu.
Vitabu vya torati navyo haviko kimya vinasema wazi. Ni vema tufuate torati sawasawa
Ni wakati wa Kufuata torati. Tanzania ya Torati ni Sasa.
Tuige Marekani kama tulivyoiga kwenye Umeme.
Niwatakie Torati njema wakulungwa wenzangu.