G
Rais wa Namibia mwanamama Netumbo Nandi-Ndaitwah ameiongoza nchi hiyo kufikia hatua muhimu ya kiuchumi kwa kukamilisha malipo ya deni la Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF). Namibia imelipa jumla ya dola za Kimarekani milioni 23.9, hatua inayolenga kupunguza mzigo wa madeni ya nje na kuimarisha uchumi wa taifa hilo.
Kukamilika kwa deni hili kunatajwa kuongeza uhuru wa kifedha wa Namibia, na kuipa serikali nafasi pana zaidi ya kuelekeza rasilimali zake katika miradi ya maendeleo ya ndani. Hatua hii imepokelewa kama ushindi mkubwa katika usimamizi wa fedha za umma chini ya uongozi uliopo, ikionyesha uthabiti wa kiuchumi wa nchi hiyo katika ukanda wa Kusini mwa Afrika.
View attachment 3582718
Ukisikia nani kama mama ndo huyu sio lile takataka ajuza hawara wa Big wa Zimbabwe na mke wa nne wa Mvuvi wa Kasa pale Nungwi. Rais wa nchi ya Pakistan 😂😂😂
Bila kusahau maswahaba wa Mtume, watasema unamponda kwa kuwa yeye ni Swahaba wa Allah.Huyu wa kwetu ukionesha madhaifu yake chawa wanakwambia unamdiss kwa sabb ya jinsia yake. Huyo wa Namibia nani atamdiss kwa anayofanya licha ya jinsia yake?
Namibia na Botswana ni nchi/watu walionyooka mnoo! Huwezi kuwafananisha na vibaka wengine.Rais wa Namibia mwanamama Netumbo Nandi-Ndaitwah ameiongoza nchi hiyo kufikia hatua muhimu ya kiuchumi kwa kukamilisha malipo ya deni la Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF). Namibia imelipa jumla ya dola za Kimarekani milioni 23.9, hatua inayolenga kupunguza mzigo wa madeni ya nje na kuimarisha uchumi wa taifa hilo.
Kukamilika kwa deni hili kunatajwa kuongeza uhuru wa kifedha wa Namibia, na kuipa serikali nafasi pana zaidi ya kuelekeza rasilimali zake katika miradi ya maendeleo ya ndani. Hatua hii imepokelewa kama ushindi mkubwa katika usimamizi wa fedha za umma chini ya uongozi uliopo, ikionyesha uthabiti wa kiuchumi wa nchi hiyo katika ukanda wa Kusini mwa Afrika.
View attachment 3582718
Ukisikia nani kama mama ndo huyu sio lile takataka ajuza hawara wa Big wa Zimbabwe na mke wa nne wa Mvuvi wa Kasa pale Nungwi. Rais wa nchi ya Pakistan 😂😂😂
Na sisi waswahili tufanyeje tunyooke? au ubabaishaji uko kwenye DNA kuuvua hatuwezi?Namibia na Botswana ni nchi/watu walionyooka mnoo! Huwezi kuwafananisha na vibaka wengine.
Hapo ukiondoa hiyo "au" na alama ya kuuliza ukaweka nukta,umemaliza.Na sisi waswahili tufanyeje tunyooke? au ubabaishaji uko kwenye DNA kuuvua hatuwezi?
Jua likiwaka lazma chawa muibuke nje ya chupi kumkingia kifua mfugaji.Haters wa Samia Wana hasira hao baada ya kushindwa kwa upumbavu wao WA oktoba 29 eti wa kwenda kumtoa Samia ikulu