GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mpaka leo najiuliza hivi wale ambao wanashabikia Upinzani na Wapinzani wenyewe ndiyo Wanafiki kama hawa Vichwani mwao zinawatosha kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umetunza kumbukumbu vema sana.. Ni hazina tosha kwa kizazi kipya...1) 2020 Hussein Ally Hassan Mwinyi kamuapisha Seif Sharif Hamad kuwa Makamu wake namba moja
2) 1984 Ally Hassan Mwinyi alimuapisha SEIF SHARIF HAMAD kuwa Waziri Kiongozi wa Znz
Historia kubwa sana kaweka
'Son of a Lord will be a Lord…'
Mzee Mbishi hatare
Waislamu waungwana sana niliona kwa Alli, Shein, Jakaya na SASA Hussein maadili ya dini Yao yanawafanya wasiwe wanafiki WA kupitiliza kama Marais Wakiristo. Naamini Hussein atakuwa Rais muungwana na kuleta mabadiliko.
kwani aliwaandikia barua kuwa wampiganie? si kiherehere chao wenyeweWatu wamevunjwa miguu mzee sasahivi yupo ndani ya V8
Na kwa jinsi hiyo hana mamlaka ya kumkosoa rais kwa namna yoyote ile hata pale ambapo rais atakua anatenda kinyume na sheriaAtakuwa mwaminifu na kumtii rais
Asante sana, tunafuatilia kwa karibu tukio hili, pia linatangazwa live na ZBC na ITV
P
Wazanzibari ni kama watu wa Tanzania bara - yaani, wametokea sehemu nyingi tofauti: mfano, kuna waliotoka uajemi, bara Hindi, bara Arabu, Mombasa na bara Kenya, mpaka Uganda, Nchumbiji (Pemba na Cabo Delgado), bara Tanganyika (Unyanyembe na manyema (Kigoma mpaka Congo), Moshi (E.... ton Kisasi) mpaka na Mbeya (Mh Mwak..).Huko huwezi kukosa uteuzi maana yeye mwenyewe alipata uteuzi Dodoma kwa kuunga mkono juhudi akiwa mkazi wa Mkuranga toka Mwitongo Tabora.
CCM hamnaga shukrani nyiekwani aliwaandikia barua kuwa wampiganie? si kiherehere chao wenyewe
MuulizeLowasa hakufika Dau hawa ?
Kwa maoni yangu nadhani hapo kuna mkanganyiko,ili kuipa hadhi inayostahili hiyo nafasi ningependekeza asiapishwe na RaisAnaapishwa na aliyemteua. Waziri Mkuu aliteuliwa na Rais wa JMT, na Maalim Seif pia kateuliwa na Rais wa Zanzibar. Shika hilo na ni kikatiba!
Kwa maoni yangu nadhani hapo kuna mkanganyiko,ili kuipa hadhi inayostahili hiyo nafasi ningependekeza asiapishwe na Rais