Zanzibar 2020 Rais Mwinyi amuapisha Maalim Seif kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar. Maalim Seif asema haukuwa uamuzi rahisi

Dunia hadaa, walimwengu shujaa
 
Amedumu madarakani kwa siku 69 tu, pumzika mzee wetu
 
Waislamu waungwana sana niliona kwa Alli, Shein, Jakaya na SASA Hussein maadili ya dini Yao yanawafanya wasiwe wanafiki WA kupitiliza kama Marais Wakiristo. Naamini Hussein atakuwa Rais muungwana na kuleta mabadiliko.
Kwahiyo hapo ndio hajafanya UNAFIKI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…