Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Kwako Ni laana, na vimekupa laana. Utamu wa ndoa unaujua? Au umeaga mashindano yetu ya wanaume?KATAAA NDOA
KATAAA UALIMU
VYOTE NI LAAANA
Weka hapa hiyo chuki iliyomo kwenye uzi.Ni ujinga kuitenganisha Zanzibar na uislamu, Mwinyi Ni mwanasiasa, anacheza nabkarata zake vizuri tu ili akubaliwe.
Na kingine punguza chuki za udini, hazina umuhimu kwako hasa kwa afya ya akili na moyo wako.
Ndio Zanzibar Ni nchi ya kiislamu kiuhalisia Ila kisiasa haina dini, unasemaje hapo? Unaumia Nini?
Laana huzaa laana, wewe ni laana iliyozalishwa na Ndoa.KATAAA NDOA
KATAAA UALIMU
VYOTE NI LAAANA
angepatikana kweli raisi anayejali uislamu wala tusingekuwa na mabalaa tunayoyaona.. Kwa vile nchi anayoongoza ni ya waislamu ndio tunamuona ratiba zinamuingiza kwenye mambo ya kiislamu lakini kwa kweli ninavyomuona hana mapenzi na hiyo dini na anajali zaidi hayo mambo ya katikba.Kwa muda mrefu huyu rais anajitambulisha kuwa yupo kwa ajili ya kuukuza uisilamu, rais Mwinyi huko nyuma aliwahi kusema ataongea na rais wa Tanzania kuona jinsi serikali ya Zanzibar inavyoweza kuanzisha mfuko wa Hija kwa waisilamu!
Huenda ulianzishwa au la, hata hivyo hilo si jambo analotakiwa kulifanya rais wa nchi.
Rais Mwinyi anatumia muda mwingi wa serikali kufanya shughuri za dini ya kiisilamu jambo ambalo si sahihi kwenye nchi ambayo serikali haina dini, anawanyima haki ya kuwahudumia wasio waisilamu na bahati mbaya hata siku ya Jumapili inapoteza heshima yake kwa kupanga shughuli za kiisilamu zifanywe siku hiyo.
Zanzibar 98% ni Waislamu, hivyo he has every right to do the needful kwa hao 98% ya Waislamu!. Sisi Wakristu baada ya kupewa Jumamosi na Jumapili kama siku za mapumziko, tutosheke!.Kwa muda mrefu huyu rais anajitambulisha kuwa yupo kwa ajili ya kuukuza uisilamu, rais Mwinyi huko nyuma aliwahi kusema ataongea na rais wa Tanzania kuona jinsi serikali ya Zanzibar inavyoweza kuanzisha mfuko wa Hija kwa waisilamu!
Huenda ulianzishwa au la, hata hivyo hilo si jambo analotakiwa kulifanya rais wa nchi.
Rais Mwinyi anatumia muda mwingi wa serikali kufanya shughuri za dini ya kiisilamu jambo ambalo si sahihi kwenye nchi ambayo serikali haina dini, anawanyima haki ya kuwahudumia wasio waisilamu na bahati mbaya hata siku ya Jumapili inapoteza heshima yake kwa kupanga shughuli za kiisilamu zifanywe siku hiyo.
Kwenye kazi ya ualimu nakuunga mkono, kazi ya ajabu sana ile, maslahi 'mishahara' duni na mazingira ya kazi magumu 'vijijini huko'KATAAA NDOA
KATAAA UALIMU
VYOTE NI LAAANA
Siafiki hayo mashambulio dhidi ya hussein mwinyi. Ujue zanzibar karibu asilimia 100 ni waislaam. Japo katiba ya zanzibar serikali haina dini ni desturi serikali kujihusisha kwa kiasi fulani na mambo ya uislam.Kwa muda mrefu huyu rais anajitambulisha kuwa yupo kwa ajili ya kuukuza uisilamu, rais Mwinyi huko nyuma aliwahi kusema ataongea na rais wa Tanzania kuona jinsi serikali ya Zanzibar inavyoweza kuanzisha mfuko wa Hija kwa waisilamu!
Huenda ulianzishwa au la, hata hivyo hilo si jambo analotakiwa kulifanya rais wa nchi.
Rais Mwinyi anatumia muda mwingi wa serikali kufanya shughuri za dini ya kiisilamu jambo ambalo si sahihi kwenye nchi ambayo serikali haina dini, anawanyima haki ya kuwahudumia wasio waisilamu na bahati mbaya hata siku ya Jumapili inapoteza heshima yake kwa kupanga shughuli za kiisilamu zifanywe siku hiyo.
Mkewe ni mkiristo!?Mwinyi anafanya siasa...
Waislam wa Zanzibar ambao ni asilimia 99 ya wapiga Kura wake wanam doubt uislam wake..
Anafanya siasa Tu...yeye mwenyewe ni westerner na mkewe mkristo...
Ila Kwa kuwa nyinyi mnapenda kulalamika hata kiongozi akivaa kibarakashia hamuwezi elewa..
99.9% Zanzibar ni waislam,hao wakiristo 2% umepata wapi bwana paskali!!?Zanzibar 98% ni Waislamu, hivyo he has every right to do the needful kwa hao 98% ya Waislamu!. Sisi Wakristu baada ya kupewa Jumamosi na Jumapili kama siku za mapumziko, tutosheke!.
Tena kuna akina sisi tunaunga mkono hadi Mahakama ya Kadhi Mwarobaini wa Kweli wa Mahakama ya Kadhi ni Huu, Wakristo, Waislamu, Kuukubali Bila Matatizo!.
Go Mwinyi go!.
Go Samia go!.
Mungu ibariki Tanzania
P
Hata Majaliwa mkewe mkristoMkewe ni mkiristo!?
Wa majaliwa hata jina li wazi,Ila wa mwinyi sikumbuki Kama ana jina la kizungu...japo Quran imeruhusu muislam kuoa ahlul kitaab(wakiristo na wayahudi)Hata Majaliwa mkewe mkristo