Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Mikopo inayokopwa kwa ajili ya Tanzania si huwa inafika Zanzibar pia?
Pia tunapolipa madeni ya nchi hii si huwa tunalipa kwa ujumla ya bara na Zanzibar pia kutoka pesa za mfuko mkuu wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania??
Pia tunapolipa madeni ya nchi hii si huwa tunalipa kwa ujumla ya bara na Zanzibar pia kutoka pesa za mfuko mkuu wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania??
Zanzibar 98% ni Waislamu, hivyo he has every right to do the needful kwa hao 98% ya Waislamu!. Sisi Wakristu baada ya kupewa Jumamosi na Jumapili kama siku za mapumziko, tutosheke!.
Tena kuna akina sisi tunaunga mkono hadi Mahakama ya Kadhi Mwarobaini wa Kweli wa Mahakama ya Kadhi ni Huu, Wakristo, Waislamu, Kuukubali Bila Matatizo!.
Go Mwinyi go!.
Go Samia go!.
Mungu ibariki Tanzania
P