Rais Mwinyi anavunja katiba ya Tanzania?

Hizo ni siasa tu, anawapa wapiga kura kile wanataka.

Mimi kinachonisikitisha ni namna watanzania wanavyodanganyika kirahisi kupitia dini, mabonanza ya michezo, matamasha ya muziki n.k.

Majority ya watu wetu ni mbumbumbu.
Hiyo kukesha na kuamka misikitini wala sio siasa kwa Zanzibar wacha waitishe uchaguzi huru na wahaki kwa katiba hiyo hiyo mbovu kwa Zanzibar kama watapata hata robo ya kura zote.mimi naona angeendelea na safari zake za ibada lakini iwe binafsi sio iwe kiserikali akiongozana na mufti na mawaziri kwani wenzake waliopita walikuwa wakifanya ibada kama hizo lakini tulikuwa hatuyaoni haya hivyo ana yofanya ni showing off ambayo haikubaliwi katika uislam.
 
Kwa hiyo tutoe fedha za bara zikagharimikie mambo ya kidini Zanzibar?
 
Sio kweli.
Mke wake ni Muislamu lakini pia Hussein ana kaudini fulani.
Kuna mdau kaniambia kuna wakati akiwa wizara ya afya alimpitishia maombi fulani mdau mwenye jina la kiarabu akijua ni dini yake kumbe jamaa ni mgalatia,alisikitika.
 
Mtu huyu tangu akiwa waziri, anazungushiwa ulinzi Ili wananchi wasione madhaifu yake.

Huyu aangaliwe Kwa ukaribu.

Kuwa mtoto wa kiongozi hakukufanyi ukawa kiongozi Bora.

Ingekuwa hivyo, Leo Ndugu Philip Mpango asingekuwa VP.
 
Kwa hiyo tutoe fedha za bara zikagharimikie mambo ya kidini Zanzibar?
Tanzania ni nchi moja ya JMT, hakuna fedha ya bara wala ya Zanzibar kuna fedha moja tuu ya Tanzania ambayo inatumika kugharimia jambo lolote ndani ya JMT.
P
 
Kabla ya kua rais nilimuona ana akili ila kumbe debe tupu
 
Hivi na uko Mashariki ya kati ulikotokea Uislamu,nako watawala wanashinda misikitini?
 
Huyu si ndiye yule akodishaye visiwa kwa pesa ndogo aau siye?
 
Iku
Ikimbukwe tu hata kugombea kwake aliteuliwa hakuchaguliwa kama wanavyolalamika wanaccm wenzake huko visiwani.

Ana kazi kubwa sana kuhakikisha anakubalika
.

So watu wasishangae vile anavyofanya.
 
Wa majaliwa hata jina li wazi,Ila wa mwinyi sikumbuki Kama ana jina la kizungu...japo Quran imeruhusu muislam kuoa ahlul kitaab(wakiristo na wayahudi)

Vipi kuhusu binti wa kiislamu kuolewa na wakristo na mayahudu?kurwani inasemaje
 
Zanzibar ni nchibjapo hawana kiti umoja wa mataifa. Tuifufue TANGANYIKA yetu waendelee na Zanzibar yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…