Rais Mwinyi: Serikali ya Mapinduzi Zanzibar sasa inaweza kukopa mkopo nje ya nchi pasipo dhamana ya Serikali ya Muungano

Rais Mwinyi: Serikali ya Mapinduzi Zanzibar sasa inaweza kukopa mkopo nje ya nchi pasipo dhamana ya Serikali ya Muungano

BVR 2015

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
447
Reaction score
985
Kwa mujibu wa taarifa ya habari iliyowasilishwa na Rais wa mapinduzi wa Zanzibar Dr.H.Mwinyi kauhabarisha umma kwamba serikali yake ina uwezo wa kukopa pesa sehemu yoyote pasipo dhamana ya serikali ya Muungano wa Tanzania, kwakuwa kwa sasa benki ya CRDB ndio itakuwa inadhamini mikopo yote itakayokuwa inakopa.

Zanzibar.jpg
 
Halaf wanalipa wao au serika ya smz? Muungano unahitaji revision sema tu watu wanakaza fuvu
Wameshatuingiza kwenye deni kubwa tuwagawie portion yao nao Walipe walipe they are not virgin walipe sehemu ya mkopo wa sasa trillion 159 ambayo wanakopa na bibi yao
 
Back
Top Bottom