Rais Mwinyi: Serikali ya Mapinduzi Zanzibar sasa inaweza kukopa mkopo nje ya nchi pasipo dhamana ya Serikali ya Muungano

Rais Mwinyi: Serikali ya Mapinduzi Zanzibar sasa inaweza kukopa mkopo nje ya nchi pasipo dhamana ya Serikali ya Muungano

Hayo madeni yatalipwa na vyanzo Gani vya mapato huko zenji mkuu?

Au mkopaji ni mwingine ,mlipaji mkopo ni mwingine!!🤣
 
CRDB wamefanya deal nzuri ya udalali (processing+trustee fee),pia wao watanufaika na kile kinaitwa "function of holding money" maana mikopo itapitia kwao kutoka kwa washirika/wakopeshaji na Zanzibar atalipa mikopo "instalments" kupitia kwao.😁

Japo wanachukua risk kubwa hapa sio kidogo.

Risk ni hii: CRDB kama PLC inaweza filisika "Bankruptcy" kwa hasara, kwa ushindani au kwa scenario ya hali ya uchumi au kwa kifo cha kawaida cha biashara kama ilivyofilisika NBC back then.

Kingine ni kwamba, serikali inaweza kushindwa kulipa kwa wakati na ika "default", pia kwa sera na hali ya kisiasa "political atmosphere" na utashi wa kisiasa "political will" vinaweza badirika hapo Zanzibar and consequently Zanzibar aka "Default" mikopo yake.

Zanzibar wamefanya pretty move, wanakopa bila ya kuweka dhamana "collateral free debt". Ni fursa kwao kupata mikopo mingi zaidi kwa rasilimali kiduchu.

Kama Zanzibar ataganikiwa kulipa mikopo yote, CRDB ananufaika, likitokea la kutokea CRDB anaingia hasara.

Kumbuka: Bima hailipi mkopo, Bima inafidia hasara kwa lengo la kukurudisha kwenye "Original Financial Position".
 
Wa-Tanganyika mnasubiri nini kuchukua chenu😳😳😳😳😳

Yaani local bank inaidhamini nchi
CCM ndio wanaokwamisha ,na kibaya zaidi watanganyika hawapendani kama walivyo wanzanzibar,hawatekani wala kupotezana
 
Hayo madeni yatalipwa na vyanzo Gani vya mapato huko zenji mkuu?

Au mkopaji ni mwingine ,mlipaji mkopo ni mwingine!!🤣
Hapo pa CRDB pamekaaje,kwamkifupi bado hawajabadiri kitu wanachofanya ni kuwapumbaza watu.na hasa kipindi ambacho watu hawamtaki bibi Jeyjey Tororo
 
Kwa mujibu wa taarifa ya habari iliyowasilishwa na Rais wa mapinduzi wa Zanzibar Dr.H.Mwinyi kauhabarisha umma kwamba serikali yake ina uwezo wa kukopa pesa sehemu yoyote pasipo dhamana ya serikali ya Muungano wa Tanzania, kwakuwa kwa sasa benki ya CRDB ndio itakuwa inadhamini mikopo yote itakayokuwa inakopa.

Hongereni watu wa nchi ya Zanzibar!
 
Tanganyika nayo inaweza kukopa nje ya muungano? Au ndio changu changu, chako chetu
 
Wa-Tanganyika mnasubiri nini kuchukua chenu😳😳😳😳😳

Yaani local bank inaidhamini nchi
Haata Mimi sijaelewa. Naona katika kutatua "kero za muungano" kuna upande ulikuwa unagawa favour kwa mwingine.
 
Tumepigwa Tena sababu CRDB sio Mali ya muungano ni PLC
Mwehu wewe CRDB sehemu kubwa ni mali binafsi ya wanahisa nikiwemo mimi

Nina hisa CRDB hata wewe ukitaka kumiliki nenda Kanunue hisa haina uhusiano na mambo ya muungano ni wewe tu na pesa yako .Kanunue hisa

Ila sasa hivi zimepanda sana sababu ya biashara waliyopata Zanzibar utanunua bei juu sana

CRDB sio benki ya muungano bwege wewe ni private bank hata magari sio SU ni namba private
 
Maendeleo ya Nchi yoyote duniani hayaletwi na serikali hata wakikopa kias gani. maendeleo huletwa na sector binafsi, kinachotakiwa ni mazingira wezeshi na wafanyakazi wa serikali kuacha kujiona miungu watu kukwamisha kila jambo jema kwa kisingizio cha kufuata utaratibu
 
Kwa mujibu wa taarifa ya habari iliyowasilishwa na Rais wa mapinduzi wa Zanzibar Dr.H.Mwinyi kauhabarisha umma kwamba serikali yake ina uwezo wa kukopa pesa sehemu yoyote pasipo dhamana ya serikali ya Muungano wa Tanzania, kwakuwa kwa sasa benki ya CRDB ndio itakuwa inadhamini mikopo yote itakayokuwa inakopa.

Watanganyika mnasubiri nini, pia wana Visit Zanzibar
 
Watapigwa mnada na hivi wanajikuta wanaujua uchumi wa blue na vimafuta vyao baharini huku kichwani hamna kitu wanapeleka madereva feki huko qatar
Hivi hili la madereva ni kweli walikuwa kutoka huko Zanzibar?

Maana sio kwa aibu ile aisee madereva wetu huku bara hawawezi kushindwa kuendesha volvo ya aina ile
 
Watanganyika mnasubiri nini, pia wana Visit Zanzibar
CRDB ni benki binafsi
Sio ya serikali Mimi binafsi pia ni mumiliki wa hiyo benki kupitia hisa nilizonunua

Ukitaka kumiliki hiyo benki ya CRDB na wewe nenda kanunue hisa
 
Dr.H.Mwinyi kauhabarisha umma kwamba serikali yake ina uwezo wa kukopa pesa sehemu yoyote pasipo dhamana ya serikali ya Muungano wa Tanzania, kwakuwa kwa sasa benki ya CRDB ndio itakuwa inadhamini mikopo yote itakayokuwa inakopa.
Duh,
Mzigo kwa Watanganyika bado upo sana maana ndiyo wenye CRDB.
Wakishindwa kulipa madeni CRDB itadaiwa na pesa zitachotwa hazina.

Tanganyika inahitaji kukombolewa
 
Back
Top Bottom