Wameshatuingiza kwenye deni kubwa tuwagawie portion yao nao Walipe walipe they are not virgin walipe sehemu ya mkopo wa sasa trillion 159 ambayo wanakopa na bibi yaoHalaf wanalipa wao au serika ya smz? Muungano unahitaji revision sema tu watu wanakaza fuvu
Wachovu tuu nimeenda Mwale jeshini nimekuta lodge chafu katikati ya mji,wako hovyo tuu wanapanda chai mahalage,wako low keyNchi ya Zanzibar iko mbali sana kimaendeleo
Uchumi Wa buluuuWatapigwa mnada na hivi wanajikuta wanaujua uchumi wa blue na vimafuta vyao baharini huku kichwani hamna kitu wanapeleka madereva feki huko qatar
Hii taarifa nimeangalia ITV nimekuwa surprised.Wa-Tanganyika mnasubiri nini kuchukua chenu😳😳😳😳😳
Yaani local bank inaidhamini nchi
Kwa maana hiyo wakishindwa kulipa CRDB itakuwa imeinunua Zanzibar na kuwa mikononi mwao.benki ya CRDB ndio itakuwa inadhamini mikopo yote itakayokuwa inakopa.
Hata mm ( ingawa sio mtaalam wa finance kwenye Muungano) nimeshtuka ..TUNAOMBA UFAFANUZI PLEASEImekuaje CRDB kuwa mdhamini?