peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,223
- 31,465
Ni ike lodge yenye vitanda vya zege kama kaburi?Wachovu tuu nimeenda Mwale jeshini nimekuta lodge chafu katikati ya mji,wako hovyo tuu wanapanda chai mahalage,wako low key
CCM ndio wanaokwamisha ,na kibaya zaidi watanganyika hawapendani kama walivyo wanzanzibar,hawatekani wala kupotezanaWa-Tanganyika mnasubiri nini kuchukua chenu😳😳😳😳😳
Yaani local bank inaidhamini nchi
Hapo pa CRDB pamekaaje,kwamkifupi bado hawajabadiri kitu wanachofanya ni kuwapumbaza watu.na hasa kipindi ambacho watu hawamtaki bibi Jeyjey TororoHayo madeni yatalipwa na vyanzo Gani vya mapato huko zenji mkuu?
Au mkopaji ni mwingine ,mlipaji mkopo ni mwingine!!🤣
Gorofa flani hivi Lina baa kwa nyuma na nyama choma,vibinti kibao hapoNi ike lodge yenye vitanda vya zege kama kaburi?
Hongereni watu wa nchi ya Zanzibar!Kwa mujibu wa taarifa ya habari iliyowasilishwa na Rais wa mapinduzi wa Zanzibar Dr.H.Mwinyi kauhabarisha umma kwamba serikali yake ina uwezo wa kukopa pesa sehemu yoyote pasipo dhamana ya serikali ya Muungano wa Tanzania, kwakuwa kwa sasa benki ya CRDB ndio itakuwa inadhamini mikopo yote itakayokuwa inakopa.
Haata Mimi sijaelewa. Naona katika kutatua "kero za muungano" kuna upande ulikuwa unagawa favour kwa mwingine.Wa-Tanganyika mnasubiri nini kuchukua chenu😳😳😳😳😳
Yaani local bank inaidhamini nchi
Tumepigwa Tena sababu CRDB sio Mali ya muungano ni PLCHongereni watu wa nchi ya Zanzibar!
Munaomba ufafanuzi ?Hata mm ( ingawa sio mtaalam wa finance kwenye Muungano) nimeshtuka ..TUNAOMBA UFAFANUZI PLEASE
Mwehu wewe CRDB sehemu kubwa ni mali binafsi ya wanahisa nikiwemo mimiTumepigwa Tena sababu CRDB sio Mali ya muungano ni PLC
Watanganyika mnasubiri nini, pia wana Visit ZanzibarKwa mujibu wa taarifa ya habari iliyowasilishwa na Rais wa mapinduzi wa Zanzibar Dr.H.Mwinyi kauhabarisha umma kwamba serikali yake ina uwezo wa kukopa pesa sehemu yoyote pasipo dhamana ya serikali ya Muungano wa Tanzania, kwakuwa kwa sasa benki ya CRDB ndio itakuwa inadhamini mikopo yote itakayokuwa inakopa.
Hivi hili la madereva ni kweli walikuwa kutoka huko Zanzibar?Watapigwa mnada na hivi wanajikuta wanaujua uchumi wa blue na vimafuta vyao baharini huku kichwani hamna kitu wanapeleka madereva feki huko qatar
CRDB ni benki binafsiWatanganyika mnasubiri nini, pia wana Visit Zanzibar
Duh,Dr.H.Mwinyi kauhabarisha umma kwamba serikali yake ina uwezo wa kukopa pesa sehemu yoyote pasipo dhamana ya serikali ya Muungano wa Tanzania, kwakuwa kwa sasa benki ya CRDB ndio itakuwa inadhamini mikopo yote itakayokuwa inakopa.