Kwa Zanzibar ni aibu nasema kwa kinywa kipana ametudhalilisha Wazanzibar, inakuwaje mna tatizo la kutokujielewa na ndio maana CCM inawaburuza. Raisi? Aloo hivi hamna waziri? Mkitaka msitake ni kujidhalilisha.
lakini sio kosa lenu sababu ni umasikini ulioletwa na CCM.
Kwa Zanzibar ni aibu nasema kwa kinywa kipana ametudhalilisha Wazanzibar, inakuwaje mna tatizo la kutokujielewa na ndio maana CCM inawaburuza. Raisi? Aloo hivi hamna waziri? Mkitaka msitake ni kujidhalilisha.
lakini sio kosa lenu sababu ni umasikini ulioletwa na CCM.
Mkuu unaishi dunia ipi? Katika dunia ya leo celebrities wanaweza kukupa msaada mkubwa hata kuliko Wold Bank.Nimeona aibu sana na niliondoka kimya kimya huku nikisononeka inakuwaje Rais wa Nchi anajidhalilisha kwa mcheza mpira? Au ndio ukisikia itifaki imezingatiwa ndio huku?
Tena kwa Red carpet kesho na kesho kutwa mchezaji anakunya mbovu inakuwaje hapo? Au kuna mtonyo wa 10%
Kusema kweli ni aibu ya mwaka hata kama angekuwa trilioneya bado Rais wa nchi asingejidhalilisha kiasi kile, inakuwaje yaani sijaelewa kabisa kabisa, wazee walisema akili ni nywele tatizo la sisi wenye vipara ni mtihani.
Wadau wa protokoli hili jambo mnalionaje?
Kama watoto wa kamboTumekuwa watu wa kulalamika na kubwatuka tu.
Ova
Zanzibar ni kama Mkoa, Rais wa Zanzibar na Mkuu wa mkoa wa Ntwara hawana tofauti.Mengine yote ni mbwembwe tu.Ndio tumejaaliwa kuburuzwa, kama hamjaelewa ni lipi cha kueleweshwa?
Nimeuliza Raisi wa nchi kumpokea mcheza mpira kisa tu anakuja na ahadi kedekede, halafu ni juzi tu Rais huyo huyo amelalamika kwenye vyombo vya habari kuwa, yeye awe ndio mtu wa mwisho kutatua au kushughulika na jambo, kama yeye atakuwa wa mwanzo haina haja ya kuwa na Mawaziri wala wasaidizi.
Kwa alivyofanya amechukua kazi ya Waziri husika anaeshughulikia Michezo na kujitwisha yeye.
Tuchukulie Mchezaji wa Real Madridi anakuja TZB, Rais Samia awe kiguu na njia kuzungumza na mchezaji huyo kisa anakuja au anataka kuekeza. Inaelekea? Raisi wa nchi voo! Lakini sishangai ndivyo CCM inavyotupeleka ujingani.
Hizo mbwembwe ndio zinatengeneza utofauti.Zanzibar ni kama Mkoa, Rais wa Zanzibar na Mkuu wa mkoa wa Ntwara hawana tofauti.Mengine yote ni mbwembwe tu.
Mbona mwenda zake alikuwa anaenda kuzinfua hadi mashine za kukuboa na kusaga,wakati waziri wa wa viwanda yupo.Mleta uzi anataka kumaanisha nini hapa mbona haeleweki?
Ukizingatia rais wa nchi ni Samia. Huyo wa huko kimataifa hadhi yake sawa na mkuu wa mkoa wa Simiyu.Tunaona wewe ndio mshamba
Raisi wa nchi voo πππHopeless kabisa. Ulitaka Mhe. Raisi ampokee nani? Unafikiri mchezaji wa EPL ni mtu mdogo? Pathetic