X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
hayo mambo uliyoyaandika wala haya kuhusu...kwani huyo Mh. Rais Samia Hassani Suluhu yeye ameshawahi kukuingilia kwenye maamuzi ya familia yako...? kama ajawahi na yeye usimuingilie kwenye maamuzi ya serikali yakeKuuwakilisha Ubongo wako huo mbovu.
Wewe ni mkichaa kwa kweli.Ni wapi GENTAMYCINE nimesema kuwa ninamchukia Rais wangu wa JMT Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan?
Tena kwa Taarifa huenda Mimi ndiyo nikawa nampenda zaidi kuliko Damn Fool Wewe kiasi kwamba nikiona anakengeuka kwa baadhi ya Mambo namkosoa ili asiharibu zaidi.
Baadhi ya Watanzania mmekuwa na ' Mentalities ' za ' Kipumbavu ' sana kwamba Mtu yoyote anayemsema Rais basi ni ama Mpinzani CHADEMA au ni Mdini au anatokea Kundi Hasimu kama linalotajwa sasa la SUKUMA GANG.
Kuna Member Mmoja hapa ameelezea vyema kabisa tena Kikatiba na Kidiplomasia kuhusu hili 'Suala Mjadala' nililolileta hapa na kusema kwa hili la Mama Kuwakilishawa na Rais Mwinyi wa Zanzibar kwa Mambo ya Kijamuhuri anakosea sana tu.
Na bahati nzuri sasa labda nikutaarifu tu Rais ( Mama ) Samia Suluhu Hassan ni " Follower ' wangu mkubwa tu hapa JamiiForums na 24/7 haachi kunisoma GENTAMYCINE na hili kwa Kujiamini kabisa nina uhakika nalo kwa 100%.
Kuna ' Threads ' kadhaa za Kumsifu na hadi Kumletea Rais ( Mama ) Samia Suluhu Hassan na moja ni ya Juzi tu mbona sikuona unasema kuwa namchukia na katika Uzi huo huo Wewe umeuchangia zaidi huku ukinipa ' Likes ' zako za kutosha tu?
GENTAMYCINE sipo hapa JamiiForums kuwa Mnafiki au Kujipendekeza ila nipo ' very Neutral ' katika ' thorough analysis ' zangu na nimekuzwa katika Misingi ya Kusimamia Ukweli na kuzingatia Utaratibu, Sheria na Kanuni zilizopo.
Mimi ni mwana CCM sana tu ila wakikosea ' nawakaanga ' vizuri tu. Mimi ni mwana Simba SC nao pia ' wakilikoroga ' tu ' ninawasiliba ' vizuri tu. CHADEMA wakipatia nawasifu na Klabu ya Yanga ikifanya Jambo jema nawapongeza.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE Mkuu sawa?
Na inawezekana VP na PM walimwambia Mama kwamba wao hawana shobo bna safari za nje kwasababu walikuwepo kwenye Serikali ya JPM na hawakuwahi kwenda nje na bado wapo poa tu.Sasa ni mara ya Pili au ya Tatu hivi naona Mheshimiwa Rais Mama Samia Suluhu Hassan ' Safari ' zake nyingi ( hasa za Ziara za Mikutano na hata nyinginezo ) anapenda mno ' Kuwakilishwa ' na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi.
Hivyo basi nami GENTAMYCINE nauliza je, na Yeye Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi na Yeye pia akiwa na Safari za ' Mialiko ' au za ' Uwakilishi ' atakuwa anamuomba ( anamuachia ) Rais wa JMT Samia Suluhu Hassan awe anaenda?
Nimeupenda sana huu Utaratibu alioubuni Rais Samia Suluhu Hassan hasa wa Kupenda ' Kuwakilishwa ' Safari zake za nje ( za Kimataifa ) na Rais wa Zanzibar tu Dkt. Hussein Ali Mwinyi hivyo kuwafanya Makamu wa Rais JMT Dkt. Philip Mpango na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wawe ni ' Wabobezi ' tu wa Safari za ndani ya nchi kama vile Tandahimba - Ibirizi na Biharamuro - Nachingwea za Kukagua Madaraja na Kuhesabu tu Kuku ' waliototolewa ' Kitaalamu SUA Mkoani Morogoro.
Halafu wanatokea wapumbavu wanataka waanze fyokofyoko hawajui hata ya ndani.Na inawezekana VP na PM walimwambia Mama kwamba wao hawana shobo bna safari za nje kwasababu walikuwepo kwenye Serikali ya JPM na hawakuwahi kwenda nje na bado wapo poa tu.
Mkuu tutawaelimisha humuhumu JF. Wasipoelimika shauri yao!Halafu wanatokea wapumbavu wanataka waanze fyokofyoko hawajui hata ya ndani.
Tutaacha lini kuangalia outcome ya jambo badala ya kuangalia possible causes ya jambo hilo???
Kama ni falsafa waliokubaliana head of state, VP na PM je??
Wapiga domo watajuaje sasa
Itafika kipindi hawaelimiki tunawaacha na ujinga wao Sisi tunasonga mbele mkuu.Mkuu tutawaelimisha humuhumu JF. Wasipoelimika shauri yao!
Kuna mahali nimesoma kuwa Babu yake ni muoman asilia, mikwara ya uhamiaji ni vizazi vitatu inawahusu Waha tu?..... wajumbe hawakuliona hili hadi mtu akafika kileleni? ... Sheria za nchi hazizingatiwi tena?...😷🥱VP aamshe maruwe ya kikabila lao, amcharukie huyu bi mdashi wa kipemba,
Kwan huyo Jumong anazingatia sheria? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mahali nimesoma kuwa Babu yake ni muoman asilia, mikwara ya uhamiaji ni vizazi vitatu inawahusu Waha tu?..... wajumbe hawakuliona hili hadi mtu akafika kileleni? ... Sheria za nchi hazizingatiwi tena?...[emoji40]🥱
Hii nchi aliyeiroga kafa na dawa alikoitupa hakujulikani.Haya mambo haya,kila kitu nchi Ni kama Jana,sera za BOT na mabenki ziko hovyo system inachelewa kuchukua hatua,Benki mifumo imeshikiliwa, na wakubwa wapo tuu,hivi kuna laana inatutafuna?
Samahan sana wee mzee, naomba niishie hapo, msieeeeewBinti tulia hebu.
Haya mambo usiyaangalie tu juu na wala usiwe kichwa mchunga. Karibu kiembe samaki kwa Butros upate urojo uliokwenda shule.
Wote ni wazenji hawa. Mbona iko wazi.Kuna Siri gani kati ya Samia na Hussein?
Mhhh,team championsMama ni Rais wa mpito na bado vyombo vya dola vina mamlaka kwa sasa vinakuwa bega kwa bega kuhakikisha utaratibu u unafuatwa ukiwemo na utaratibu wa kumpata Rais baada yake maana yake vina nguvu ya kuamua aliyeko kwenye list anakuwa na hili zoezi litakamilishwa kwa ustadi mkubwa Sana na kwa kweli hili jambo ni la kuigwa sana kwa kucishukuru vyombo vya dola vinaivusha nchi yetu salama salmini
Atajua yeye, hatutaki habari zake za ukanjanja hapa. Afuate katiba ya JMT.Mkuu mh.Rais SSH kwao ni MAKUNDUCHI ...na si Pemba!
Non sense, msieeeeeeeew.Nani amuambie ukweli Rais ,VP?!!!
Mbona VP alikuwepo kipindi cha hayati JPM ,alikuwa anaweza kumuambia kitu Rais ?!!!
By the way VP ni msaidizi wa Rais akiwa hayupo....ila KATIBA yetu inampa mamlaka makubwa Rais wa nchi.....na ndivyo zilivyo katiba za nchi nyingi duniani......
Presidential decree haimzuii Rais kumtuma Rais wa Zanzibar kumuwakilisha nje ya nchi....
Safari ni nyingi....na kila safari ina malengo yake na umuhimu wa kipekee.........
#KaziIendelee
Hahahah mie nkajuaga mpemba lol, [emoji23][emoji23][emoji23]Mama siyo Mpemba ni Muunguja pure.
"Kujuaga" si lazima iwe ni uhalisia....🤣Hahahah mie nkajuaga mpemba lol, [emoji23][emoji23][emoji23]
Bashite kama mkuu wa mkoa alimwakilisha wapi raisi wa JMT nje ya mipaka ya nchi ya Tanzania? Kama kwenye mkoa aliokabidhiwa sawa, napo mamlaka yake yana mipaka, wanasema bila kuathiri vifungu vingine vya sheria mama.Acheni Wivu
Ni Zamu Wa Zenj.
Mbona Mwendazake alikuwa anamtuma Bashite
Wajuvi wa sheria ya katiba wa wanaweza kuweka neno sahihi hapo, kama imevunjwa au imetamatishwa. Ila kwa maono yangu, sioni mwanga ukiingia kwenye karavati(tunnel) nililopo, hivyo bado ni giza mno, ngoja niendelee kukaza mwendo, pengine mbele huko nitaanza kuona mwangaza na kupata tumaini la kutoka kwenye hili tunnel na kujua huko nje kukoje ili nichague mwelekeo utakaonipendeza.Kwa maana hiyo rais kavunja katiba ?
Ila uliyeandika kuwa ni mpemba ni wewe na si yeye Sasa nani kanjanja hapa?!!Atajua yeye, hatutaki habari zake za ukanjanja hapa. Afuate katiba ya JMT.
Bandiko langu linajielezaKwahiyo 'Mama' anakosea au anapatia?