Rais Mwinyi: Watu wanadhani kuweka kodi kubwa ndio pato kubwa kwa Serikali, kodi kubwa inapunguza wafanyabiashara

Kodi kiduchu makusanyo mengi sababu watu awatokwepa Kodi na sio Kodi kubwa makusanyo kidogo
 
Bora safari hii rais atoke zanzibar tu.
Ndo itakavokuwa yule ni civilized, educated na ana exposure.Sio primitives wa kuja mjini Mkubwa.
Hakika akiletwa huku watz watafuraia Sana watapata uhakika wa kula japo milo 2 kwa siku na sio minne kwa wiki
 
Mwinyi ndie tumaini la watz 2025 ajitenge tu na katili asijinajisi haramu.
 
Yule wa visasi yasijekuwa ya moi na ouko. Astahilie kuabudiwa ni yeye pekee
 
Go Mwinyi Go....!
You are on the right vibe!
 
Niseme tu, huyu bwana mdogo ana akili, busara na 'exposure'. Sasa shuhudia biashara nyingi kuhamia huko. Na hiki kitendo cha kuleta serikali ya Umoja wa Taifa, kama kitalindwa vizuri, kitaongeza Imani ya kufanya biashara. Lo! Aliposema uchumi utaendeshwa na sekta binafsi…...hapo sasa! Sio kila kitu kifanywe na serikali.
(usomi, hekima, exposure, seeking consensus+ humility = mafanikio 100%). Tutaona!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…