Rais na msemaji wa Yanga wapo Morocco, waliofuzu shirikisho wapo Mbarahati

Rais na msemaji wa Yanga wapo Morocco, waliofuzu shirikisho wapo Mbarahati

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Hii ndo tofauti ya CAFCL na shirikisho

Timu ikicheza Club bingwa CAFCL itaalikwa kwenye majukwaa makubwa ya kimpira

Viongozi wa timu za shirikisho hawawezi kusimama kwenye majukwaa makubwa,

Soma Pia: Hafla ya upangaji wa Makundi AFCON 2025, Tanzania tutapangwa na nani?

Viongozi wa Simba wapo wanatazama kwenye TV upangaji wa makundi

Hakika tumewaacha mbali
 
1000230482.jpg
 
muda ambao wenzao wanaunda team nyie mlikuwa kwenye foleni za supu, wenzenu wanapiga hesabu za kuongoza Group nyie wakina GSM walikuwa Dodoma kwenye mkutano wa CCM. sasa hivi wanaume wanapanga mikakati ya kutanua tofauti ya points za uongozi wa league, Hersi na Ally wameenda kutalii morocco.. msilaumiane hapo baadae
 
Hii ndo tofauti ya CAFCL na shirikisho

Timu ikicheza Club bingwa CAFCL itaalikwa kwenye majukwaa makubwa ya kimpira

Viongozi wa timu za shirikisho hawawezi kusimama kwenye majukwaa makubwa,

Soma Pia: Hafla ya upangaji wa Makundi AFCON 2025, Tanzania tutapangwa na nani?

Viongozi wa Simba wapo wanatazama kwenye TV upangaji wa makundi

Hakika tumewaacha mbali
NA SISI YANGA TUMEFANIKIWA KUFUZU ROBO FAINALI SHIRIKISHO LA CRDB KWA KUWASHINDILIA GOPCO MABAO 5 KWA 0.
 
Back
Top Bottom