Rais na msemaji wa Yanga wapo Morocco, waliofuzu shirikisho wapo Mbarahati

Rais na msemaji wa Yanga wapo Morocco, waliofuzu shirikisho wapo Mbarahati

Hii ndo tofauti ya CAFCL na shirikisho

Timu ikicheza Club bingwa CAFCL itaalikwa kwenye majukwaa makubwa ya kimpira

Viongozi wa timu za shirikisho hawawezi kusimama kwenye majukwaa makubwa,

Soma Pia: Hafla ya upangaji wa Makundi AFCON 2025, Tanzania tutapangwa na nani?

Viongozi wa Simba wapo wanatazama kwenye TV upangaji wa makundi

Hakika tumewaacha mbali
Unawafanya mashabiki wote wa Yanga waonekane ni HAMNAZO. Inaonekana hauna furaha, upweke unakusumbua na furaha yako unaitegemea kutoka kwa Simba na Yanga.
 
Ukiacha usemaji, Ally Kamwe ana Leseni ya Ukocha inayobtambuliwa na CAF.
Sasa CAF hawawezi kuacha kumwalika msemaji mwenye Leseni ya CAF ya Ukocha wamchukue mtu usiye jua chochote zaidi ya kuwa msemaji wa kawaida wa mpira
 
Una akili sana Mkuu
 
Back
Top Bottom