Cc Manara wewe ni mmoja wasiokuwa na akili hapo utopoloni. Umefungua uzi kuwasifia wanaume, uchunguzwe jinsia yakoRage alikuwa sahihi kuwaiteni mbumbumbu
Mangungu tupo nae hapa magomeni mapipa tunapiga soga za hapa na pale .Hii ndo tofauti ya CAFCL na shirikisho
Timu ikicheza Club bingwa CAFCL itaalikwa kwenye majukwaa makubwa ya kimpira
Viongozi wa timu za shirikisho hawawezi kusimama kwenye majukwaa makubwa,
Soma Pia: Hafla ya upangaji wa Makundi AFCON 2025, Tanzania tutapangwa na nani?
Viongozi wa Simba wapo wanatazama kwenye TV upangaji wa makundi
Hakika tumewaacha mbali
Mrembo ni wewe unaosifia wanaume. Mtoto unautaka weweMrembo tulia sasa
Simba huwa wanasafiri viongozi na wachezaji.Viongozi wa timu za shirikisho hawawezi kusimama kwenye majukwaa makubwa,
NA SISI YANGA TUMEFANIKIWA KUFUZU ROBO FAINALI SHIRIKISHO LA CRDB KWA KUWASHINDILIA GOPCO MABAO 5 KWA 0.Hii ndo tofauti ya CAFCL na shirikisho
Timu ikicheza Club bingwa CAFCL itaalikwa kwenye majukwaa makubwa ya kimpira
Viongozi wa timu za shirikisho hawawezi kusimama kwenye majukwaa makubwa,
Soma Pia: Hafla ya upangaji wa Makundi AFCON 2025, Tanzania tutapangwa na nani?
Viongozi wa Simba wapo wanatazama kwenye TV upangaji wa makundi
Hakika tumewaacha mbali
Huyu dogo mchekea anafanya Yanga wote tuonekane hamnazo. Nadhani ni Simba anatusanifu au kutuchoresha tuonekane hatuna akili sisi Yanga.KUNA VITU VINALETWA HAPA UNASHINDWA HATA KUSOMA.
UNAJIULIZA HUYU MTU ANA AKILI TIMAMU KWELI?????
ANYWAY, LONG LIFE JF.