Rais na msemaji wa Yanga wapo Morocco, waliofuzu shirikisho wapo Mbarahati

Unawafanya mashabiki wote wa Yanga waonekane ni HAMNAZO. Inaonekana hauna furaha, upweke unakusumbua na furaha yako unaitegemea kutoka kwa Simba na Yanga.
 
Kweli hapo utopolo mwenye akili ni Kikwete na Tajiri peke yake.......

Yaani mtu unajivunia kuhudhuria kitchen party ya CAF
 
Ukiacha usemaji, Ally Kamwe ana Leseni ya Ukocha inayobtambuliwa na CAF.
Sasa CAF hawawezi kuacha kumwalika msemaji mwenye Leseni ya CAF ya Ukocha wamchukue mtu usiye jua chochote zaidi ya kuwa msemaji wa kawaida wa mpira
 
Una akili sana Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…