Rais na Mwenyekiti wa Chama changu (CCM), maadui wako siyo wapinzani Bali Machawa wa Mtandaoni na washauri wako baadhi

Mkunazi Njiwa na Lucas mwashamba hawa ni kupe yaan ni zaid ya chawa!!
 
Mkunazi Njiwa ni kupe yaan ni zaid ya chawa!!
Mimi si chawa...

Nimekuwa nikisimamia maslahi ya chama toka niko sekondari....nilikuwa hivyo kipindi cha Kikwete...nilikuwa hivyo kipindi cha JPM na leo hii....

Mimi ni mjamaa muumini wa "dini" ya CCM...muulizeni kamarada Salum Ali Hapi ,Mwangomwango ,Livinus Mashindano ,Sambala ,mwenyekiti M Kawaida ,PP Katambi ,Suleiman Serera ,Asenga Abubakar,Sufyan Omar watakueleza hayo....

Sipiganii chama kwa sababu ya uteuzi wala maslahi koko....ukiteuliwa unakipigania chama muda gani ?!!! [emoji15][emoji15][emoji1787]

Ni mtazamo wangu lakini...unaweza kuniita mpumbavu [emoji1787]
 
Samia anaponzwa na wana CCM wenzake, aliyshauri mabango ya Samia kuwekwa nchi nzima amemlostisha sana sana
 
Samia anaponzwa na wana CCM wenzake, aliyshauri mabango ya Samia kuwekwa nchi nzima amemlostisha sana sana
Si kweli....

Makundi yanakosekanaje katika chama tena chama dola?!!!

Msafara wa mamba kenge hawakosekani....unawezaje kuwajua wote?!!![emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]

Pamoja na yote ni lazima alifikishe gari salama...ni lazima ailinde imani ya "dini" yetu CCM....afanyeje sasa ?!!!

Mnamshambulia hata pasipobidi....lichama likubwa...linchi likubwa asalimu amri ?!! [emoji15][emoji1787][emoji1787]

#Punda Afe Mzigo Ufike[emoji120]
 
Hii ni awamu ya 4 iliyovaa sura ya awamu ya 6.

Ccm mmekwama.
 
Si kweli...

Ni picha iliyotengenezwa na mahasimu wake....

Hivi mbinu za utawala wa JPM zilikubaliwa na walio wengi?!!!

Mama asimamie mstari upi ?!!!

Aende na mbinu zake JPM ?!!! [emoji15][emoji15]

Asimamie mbinu zipi?!!

Pendekezeni.....
Si tunataka mzame kije chama na sirikali ingine.
 
Kumbe unajua CCCm ni Dini, sasa ugomvi na Tec unatoka wapi?
 
Ila kuwarudisha nape na january kumeonyesha wazi unafiki wa mama abdul
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…