Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
Parasite!! Yaan wanakula na kunata hapohapo kuliko chawa hung'ata na kutoka baru!!Hivi chawa akikubuhu saana huwa anaitwa nani ? Kiwavi au mdudu gani jamani nisaidieni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Parasite!! Yaan wanakula na kunata hapohapo kuliko chawa hung'ata na kutoka baru!!Hivi chawa akikubuhu saana huwa anaitwa nani ? Kiwavi au mdudu gani jamani nisaidieni.
Mkunazi Njiwa na Lucas mwashamba hawa ni kupe yaan ni zaid ya chawa!!Kwa kuanza kabisa mi ni CCM ambaye uwa siyumbi kwa ninalo amini,
Moja naamini katika free mind, naamini katika kutofautiana kwa Hoja
Mama nakusihi epuka mambo haya
1. Usipende kusikiliza ushauri wa waliokuzunguka, Tafuta mbinu za kupata taarifa ikibidi ntaiwasilisha kwa njia ya Fetacth Budge Fel nadhani umenielewa!
2. Kundi kubwa ilipo upokea Urais walifurahi, Lakin kinachowaumiza ni kuwakumbatia Mawaziri ambao wamewai feli Mara kadhaa
Mwenzako alimfukuza NAPE, Na MAKAMBA we ukawarejesha hao hao! Na baada ya kufukuzwa ulisikia walivyokuwa wana mis behave Lakin we ukawaamini Tena hawa vijana wanakulia timing sana yan!
3.Kosa jingine kubwa pamoja na kwwmba tulipita tu kiujanja basi sisi ndo SERIKALI Ila suala la Msingi hata wale majembe walokuwa wanaunafuu umewaweka pembeni kwa ghafla kitu ambacho kitatutesa wapiga kampeni Mwaka 2025
Muhimu sana epuka machawa wasioweza eneza propaganda ikaaminika without any doubts
Sasa vijana wanaojifanya kukutetea ndo wanaharibu kabisa
Britanicca
Mimi si chawa...Mkunazi Njiwa ni kupe yaan ni zaid ya chawa!!
Yaani kupe mnyonyaji?Parasite!! Yaan wanakula na kunata hapohapo kuliko chawa hung'ata na kutoka baru!!
Si kweli....Samia anaponzwa na wana CCM wenzake, aliyshauri mabango ya Samia kuwekwa nchi nzima amemlostisha sana sana
Hii ni awamu ya 4 iliyovaa sura ya awamu ya 6.Kwa kuanza kabisa mi ni CCM ambaye uwa siyumbi kwa ninalo amini,
Moja naamini katika free mind, naamini katika kutofautiana kwa Hoja
Mama nakusihi epuka mambo haya
1. Usipende kusikiliza ushauri wa waliokuzunguka, Tafuta mbinu za kupata taarifa ikibidi ntaiwasilisha kwa njia ya Fetacth Budge Fel nadhani umenielewa!
2. Kundi kubwa ilipo upokea Urais walifurahi, Lakin kinachowaumiza ni kuwakumbatia Mawaziri ambao wamewai feli Mara kadhaa
Mwenzako alimfukuza NAPE, Na MAKAMBA we ukawarejesha hao hao! Na baada ya kufukuzwa ulisikia walivyokuwa wana mis behave Lakin we ukawaamini Tena hawa vijana wanakulia timing sana yan!
3.Kosa jingine kubwa pamoja na kwwmba tulipita tu kiujanja basi sisi ndo SERIKALI Ila suala la Msingi hata wale majembe walokuwa wanaunafuu umewaweka pembeni kwa ghafla kitu ambacho kitatutesa wapiga kampeni Mwaka 2025
Muhimu sana epuka machawa wasioweza eneza propaganda ikaaminika without any doubts
Sasa vijana wanaojifanya kukutetea ndo wanaharibu kabisa
Britanicca
Si tunataka mzame kije chama na sirikali ingine.Si kweli...
Ni picha iliyotengenezwa na mahasimu wake....
Hivi mbinu za utawala wa JPM zilikubaliwa na walio wengi?!!!
Mama asimamie mstari upi ?!!!
Aende na mbinu zake JPM ?!!! [emoji15][emoji15]
Asimamie mbinu zipi?!!
Pendekezeni.....
Kumbe unajua CCCm ni Dini, sasa ugomvi na Tec unatoka wapi?Mimi si chawa...
Nimekuwa nikisimamia maslahi ya chama toka niko sekondari....nilikuwa hivyo kipindi cha Kikwete...nilikuwa hivyo kipindi cha JPM na leo hii....
Mimi ni mjamaa muumini wa "dini" ya CCM...muulizeni kamarada Salum Ali Hapi ,Mwangomwango ,Livinus Mashindano ,Sambala ,mwenyekiti M Kawaida ,PP Katambi ,Suleiman Serera ,Asenga Abubakar,Sufyan Omar watakueleza hayo....
Sipiganii chama kwa sababu ya uteuzi wala maslahi koko....ukiteuliwa unakipigania chama muda gani ?!!! [emoji15][emoji15][emoji1787]
Ni mtazamo wangu lakini...unaweza kuniita mpumbavu [emoji1787]
Yeah, cz hunata pale anapopata mlo!!Yaani kupe mnyonyaji?
Anasikia mbonaAna masikio kwani!!?
Unafikiri atasoma!!?
Anaiwaza 2025 badala ya kuwaza namna ya kutimiza matarajio ya wananchi!!
Mungu ibariki TANZANIA nchi yetu!!
NamAna masikio kwani!!?
Unafikiri atasoma!!?
Anaiwaza 2025 badala ya kuwaza namna ya kutimiza matarajio ya wananchi!!
Mungu ibariki TANZANIA nchi yetu!!
Ndio amesikia naona anachukua hatua madhubuti!!