Rais na Mwenyekiti wangu Dkt. John Magufuli kamwe usikubali hizi 'Sifa za Kilaana' unazopewa na Viongozi wa Dini hasa wakiwa 'Wanakuombea' mbele yako

Rais na Mwenyekiti wangu Dkt. John Magufuli kamwe usikubali hizi 'Sifa za Kilaana' unazopewa na Viongozi wa Dini hasa wakiwa 'Wanakuombea' mbele yako

Una dalili zote za Kunipenda na pengine hata Kunihitaji nikukojolee Uridhike ila unashindwa tu Kunyoosha Maelezo yako ( Kufunguka ) Kwangu. Tafadhali just break it to me Milango iko wazi.
Unachoongea ndio inaonyesha akili yako ilivyo...
 
Mkuu nakubaliana kabisa na Wewe kwani majuzi nilikuwepo pale 'Beach Kidimbwi' ambako ndiko ilikuwa moja ya 'Maskani' Kuu ya 'Kula Bata' kwa Paul Makonda huku akiwa na hao 'Marafiki' zake ambao alipokuwa RC walikuwa 'wakimnyenyekea' mno ila kwa jinsi 'walivyobadilika' sasa hadi 'Kumsema' na 'Kumcheka' kweli nimeamini hakuna Watu 'Wanafiki Waandamizi' duniani kama Watanzania hasa ukiwa na Hela au Madarakani.

Bandiko limetia
 
Back
Top Bottom