Tunashuhudia unyanyasaji mwingi katika hizi za kutegemea huduma kutoka nchi zingine hususani pale ambapo mausiano ya kidiplomasia yanapozorota.
Lakini pia Tanzania kwa sasa tunazalisha umeme zaidi ya maitaji yetu sasa mtu unapata ukakasi wa kuanza kununua kitu unachokizalisha.
Kwa vyovyote vile ni sustainable sisi kusafirisha umeme hadi kaskazini badala ya kununua hukooo Ethiopia. Projects kama hizo ni za upigaji tu.
Asante