Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Kileeeee kiwanda chakecMbolea dodoma......si buree awe wa kwanza kukimbilia mjane......Mheshimiwa Evariste Ndayishimiye, Rais wa Jamhuri ya Burundi akimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 08 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena Zanzibar, tarehe 07 Sept, 2026.View attachment 3666156View attachment 3666157View attachment 3666159
duhMwanamke akiwa eda hatakiwi kuonana na mwanaume yoyote ambaye siye ndugu yake
Huyo sio mwanamke ni mama raisMwanamke akiwa eda hatakiwi kuonana na mwanaume yoyote ambaye siye ndugu yake
Huyo ni zaidi ya mwanamke mkuu...halafu naona tshekedi Kila Leo yupo dar sijui anavizia nini TZMwanamke akiwa eda hatakiwi kuonana na mwanaume yoyote ambaye siye ndugu yake
Huyo ni zaidi ya mwanamke mkuu...halafu naona tshekedi Kila Leo yupo dar sijui anavizia nini TZ
Ni ndugu yake, siyo lazima awe wa damu.Mwanamke akiwa eda hatakiwi kuonana na mwanaume yoyote ambaye siye ndugu yake