Janja weed
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 3,000
- 5,606
Si wanachukua zao za kubrashi viatu kama alivyowaagiza bwana yule mwendazake yaani kuna wamama wanamavitambi utadhani maujauzito ya miezi 10 lakini wamo tu wanalamba jero buku ikisalia hata miambili hawaachi hii nchi inashida nyingi sana ,ndio maana wenzao wanalalamikia mishahara madaraja posho wao hawana habari ndio kwaaaanza wanapumulia juu juu kama mijusi imebanwa na mlango