Kwa nini waliwasakama hivyo?Kweli una haki ya kuuliza
Indira Gandhi alikuwa Waziri mkuu wa India
Aliuwawa na bodyguard wake nyumbani
Mtoto wake Sanjay ambae ndio alikuwa anategemewa kuwa Waziri mkuu baada ya mama yake nae akafa kwenye ajali ya ndege mwaka 1980
Baada ya hapo mtoto wake mwingine anaeitwa Rajiv Gandhi akaja kuwa Waziri mkuu nae akauwawa 1991
Familia ikawa imeisha kwenye utawala hapo
Inahuzunisha historia yao