Rais Nyerere na mkewe kwenye mazishi ya Indira Gandhi

Kwa nini waliwasakama hivyo?
 
Hivi Indira Gandhi alifanya nini mpaka kujijengea heshima kubwa?
 
Kwa nini waliwasakama hivyo?
Mwaka 1984 Waziri Mkuu Indira Gandhi aliruhusu wanajeshi wavamie Temple na kuwaondoa Singh
Tunawaita SingaSinga

Ila walinzi wake walikuwa Singh pia
Alifikiri ni loyal kwake hivyo wakamuua kwa risasi nyumbani kwake wakiwa wanamlinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…