Etoo hawezi kuwa Rais licha ya influence. Anapigwa vita sana. Kila miradi ya maendeleo akitaka kuanzisha wanampiga vita wanamuambia lazima ipitie serikalini na izinduliwe. Watu wa Kabila la Biya wameapa watatawala milele Cameroon. Etoo ametokea kabila la Basaa ndo wasukuma wa Cameroon kwa wingi. Ila kuna kabila linaogopwa kwa maendeleo wachaga wa Cameroon wanaitwa Bambeleke. Makabila mengine Cameron waapa hawatapata madaraka.