Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Weka neno Kagame kafanya vizuri au vibaya? Kwa nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka neno Kagame kafanya vizuri au vibaya? Kwa nini?
Kila ukikumbuka vile wazee wa Upinde walivyo kupinda hauna hamu nao hadi leo.Kanisa la wahuni Hilo wazee wa upinde 😂
Nenda Rudi nenda Rudi hizo kilometers zijumlisheHayo maelfu ya kilomita ndani ya nchi ya rwanda mmewatoa wapi maana kutoka kusini magharibi hadi kaskazini mashariki ni kama km 250 tu nchi umeimaliza
Mwisho wake umekaribia,ila wwe haupo mjenzi huru kwel!Weka neno Kagame kafanya vizuri au vibaya? Kwa nini?
Siko huko mkuu. Wala sikubaliwi kuingia.Mwisho wake umekaribia,ila wwe haupo mjenzi huru kwel!
🤣🤣🤣Acha hizo banaWeka neno Kagame kafanya vizuri au vibaya? Kwa nini?
Anaenda na kurudi wapi? Nani ushawahi muona ana tembea km 1000 dunia ya leo?Nenda Rudi nenda Rudi hizo kilometers zijumlishe
Naongea nao hapa.Mwisho wake umekaribia,ila wwe haupo mjenzi huru kwel!
Mkuu,Nchi zetu hizi zinazoendelea watu wake wana matatizo mengi. Jamii hizi au watu hawa akil; fikira na mawazo yao yako tu kwenye hela. Wao wanawaza tu hela. Hili ni tatizo na hatari kubwa kwa ustawi wa watu.
Kanisa katoliki halijatangaza kuthibitisha hilo eneo la Kibeho kwamba ni kweli Mama Yetu Bikra Maria aliwatokea watoto hapo. Sasa, swali ni je, kwanini maelefu ya watu wanaelekea huko kwa ajili ya hija?
Hapa kuna sababu ya uhuru ambayo ni lazima ifahamike kuwa, ili uwe huru lazima utumie vizuri akili inavyotakiwa kinyume chake ni kujiangamiza na kwa upande mwingine, na hapa ndipo kwenye tatizo kubwa, Kanisa halijafundisha na kufafanua wazi mafundisho yake kwa waamini wake.
Kwa mfano, ni maeneo gani watu au waamini wanapaswa kwenda kusali kwa ajili ya hija, kwanini.
Unajua ukienda mataifa yalioendelea, kwa mfono Marekani, Japani, na Ulaya Magharibi huwezi kukuta watu wakifanya vitu au mambo yanayofanyika huku kwetu Afrika.
Mataifa hayo watu wake ni waamini: wanazingatia Sakramenti na Amri Kumi za Mungu, lakini hawamtegemei Mungu; kwamba wameacha mambo yote kwake badala yake wanajifunza na kufuatilia kila kitu kwa makini na hali ya juu sana.
Ukweli kwamba kuna Mungu hauwazuii kuacha kufuatilia vitu na mambo kwa kina. Kwa sababu hiyo wamekuwa watu wa kufanya tafiti nyingi kwa muda wote kuhusu Mungu Mwenyewe na pia Ulimwengu.
Huku kwetu Afrika mambo ni tofauti kabisa. Watu hawajifunzi na hawafuatilii mambo na vitu; hawafanyi tafiti. Ni watu wasioruhusu akili yao ijifunze, ichunguze na kufuatilia mambo kuhusu Mungu na ulimwengu badala yake wanasema mipango ya Mungu
Unashangaa nini? Hawa watu ndo mana wanapinga uwekezaji. Hawataki tutoke kwenye umaskiniAiseeee
Mdini kivipi?Kagame Mdini