Rais Paul Kagame aahidi kuwasweka gerezani mahujaji wa Kikatoliki wanaotukuza ufukara

Rais Paul Kagame aahidi kuwasweka gerezani mahujaji wa Kikatoliki wanaotukuza ufukara

Hii imekuja baada ya kushutumu watu wanaotembea maelfu ya km kwenda mojawapo ya Kijiji Nchini humo kufanya hija Kwa maelezo kwamba mwaka 1981 Bikira Mariam mama wa Yesu aliwatokea mabinti 2 eneo Hilo.

Kagame amechukizwa na Hali hiyo ambayo Kanisa la Katoliki Rwanda linabariki na kufanya sehemu ya ibada.

My Take: Hili Kanisa Lina vioja sana, nimewahi hoji kwa nini Masista na Makatekista wanafanywa mafukara na kutendewa kama watumwa huku wakila kiapo Cha kutumikia Ufukara?

=============

Kagame promises to imprison Catholic pilgrims who 'worship poverty'​


Rwandan President Paul Kagame has threatened to round up Catholic faithful who visit a global pilgrimage site in his country, accusing them of "worshipping poverty".

Every year thousands of people, many travelling for several days on foot, visit Kibeho, a town in southern Rwanda where the Virgin Mary is said to have appeared to three schoolgirls four decades ago.

But Kagame lashed out at the pilgrims after more than 20,000 attended a Catholic mass in the hillside town on Assumption Day, August 15.

Catholic pilgrims gather for celebrations in Kibeho in southern Rwanda on November 28, 2016 to mark the anniversary of the reported apparition of the Virgin Mary in 1981 in the hope of receiving miracles and being healed from illnesses and disabilities. PHOTO/AFP

In an address to a youth conference on Wednesday, he described the pilgrimage to Kibeho, where the three teenagers said the mother of Christ appeared to them in November 1981, as "horrible".

“I thought that when you pray, you are praying for what can help improve your lives, praying to get rich and get out of poverty," he said.

"No one must worship poverty. Do not ever do that again... If I ever hear about this again, that people travelled to go and worship poverty, I will bring trucks and round them up and imprison them, and only release them when the poverty mentality has left them," said Kagame, himself a Catholic.

It is not clear what prompted the outburst by Rwanda's iron-fisted ruler and the Catholic Church in the country has not yet made any public comment.

The 1981 event was authenticated by the Vatican in 2001 and the site has become a popular destination for Catholic pilgrims from all over the world, many hoping for miracles or cures for illness.

Local media reported earlier this month that the Catholic Church is seeking funding of 3.5 billion Rwandan francs (about $3 million) to expand Kibeho.

Almost all Rwandans are Christians, with Catholics making up roughly half the population.

Chanzo: Monitor
 
Mtaokoteza vimaneno vya kila aina. Ila wenye akili tunafahamu Kanisa Katoliki halijawahi kupinga uwekezaji wa aina yoyote ile, na wenye maslahi kwa nchi.

Kinachopingwa na Kanisa, ni yale mapungufu ya mkataba! Na ambayo serikali haitaki kukaa na mwekezaji ili yarekebishwe.
Tumeokoteza nini? Kwa hiyo unaoingana na habari iliyorushwa na chombo cha Kimataifa?
 
Jana chombo cha habari ya Ufaransa kimeripoti Rais wa Rwanda Paul Kagame kuwaonya mahujaji wa kikatoliki kwa kuabudu umaskini.

Sasa nimeelewa kwa nini hawa watu wako so much against Uwekezaji kwenye Bandari yetu unaotarajiwa kuiletea nchi yetu mapinduzi makubwa ya kiuchumi.

Taratibu tunaanza kuelewa kwa nini hii nchi ni maskini
The Boss Crimea GENTAMYCIME FaizaFoxy Suzy Elias denooJ Tindo Kalamu GUSSIE
@Johnthebabtist THE CHOICE Variables Lucas Mwashamba

Muwe na siku njema.
View attachment 2727919View attachment 2727920
 
Mdini kivipi?
Amefanya sahihi. Hawa watu hawako kwa ajili ya maendeleo ya watu
Kwani kila mtu kakwambia anataka maendeleo?

Kuna watu hawataki maendeleo ya dunia hii, wanataka uzima wa milele mbinguni.

Utawakatalia wasitake uzima wa milele kidini kwa kutumia haki yao ya kibinadamu?
 
Washauri Ccm wenzako wamuige Kagame
wanaweza kumuiga kagame? huko Rwanda kiongozi wa dini lzm uwe na elimu sio mbumbumbuu hawa wanaounga mkono bandari kisa TEC wamepinga mkataba
 
Siko huko mkuu. Wala sikubaliwi kuingia.

Ngoja nikuelimishe kitu kimoja cha msingi kabisa kuhusu hao wajenzi huru kama huwajui.

Kuwa mjenzi huru sharti lao la kwanza ni lazima uwe unaamini Mungu au nguvu fulani kama ya kimungu.

Na mimi siamini vyote hivyo.

Maana yake wewe ikiwa unaamini Mungu, tukienda wewe na mimi kuomba kujiunga, wewe utakubaliwa halafu mimi nitakataliwa.

Maana yake wewe upo karibu nao na wanakukubali zaidi kuliko mimi.
waislam mnapenda udaku , kiufupi mjifunze kujadili mambo kwa uono wa kesho , leo katoliki kesho Kagame anahamia kwa waislam walea ugaidi
 
Anakiribia kuanguka huyo kiutalawa ,Catholic hawagusiki.
at times mnawa-overrate. Martin fayulu na kanisa lake wameishia wapi huko kongo? Nyerere alipokuwa anapitisha sheria ya Ndoa miaka ya 70, RC waliipinga, Nyerere alipoona wanamuendesha, aliwaambia hapitishi Sheria kwa ajili ya wakatoliki, 2010 kwenye uchaguzi ule walipiga kampeni kali dhidi ya JK, walishindwa, walimfanya nini? Wana nguvu na ushawishi, ila mna-waoverrate sana!
 
Kwani kila mtu kakwambia anataka maendeleo?

Kuna watu hawataki maendeleo ya dunia hii, wanataka uzima wa milele mbinguni.

Utawakatalia wasitake uzima wa milele kidini kwa kutumia haki yao ya kibinadamu?
Kwa hiyo ndo wapinge maendeleo ya nchi ya mambo yao ya uzima wa milele? Wamewahi kuuona huo uzima wa milele?
 
waislam mnapenda udaku , kiufupi mjifunze kujadili mambo kwa uono wa kesho , leo katoliki kesho Kagame anahamia kwa waislam walea ugaidi
Nani Muislamu? Udaku gani?

Mimi nimeandika jambo kwa kuangalia msingi wa haki za binadamu.

Specifically "Universal Declaration of Human Rights" since 10 December 1948.

Rwanda ni nchi mwanachama wa Umoja wa Mataifa na Umoja wa Africa na imesaini mikataba mingi ya kimataifa inayotoa haki ya kuabudu kama haki ya binadamu.

Rais Kagame anachofanya ni kuvunja mikataba hii ya kimataifa.

Tubishane kwenye hoja. Mimi ni mtu nisiyeamini uwepo wa Mungu, wala sina dini.

Watu wanaonifuatilia wanajua hilo.

Ndiyo maana nakushangaa unapoandika "Waislamu mnapenda udaku".

Ulikuwa unanijibu mimi au mtu mwingine?
 
Kwa hiyo ndo wapinge maendeleo ya nchi ya mambo yao ya uzima wa milele? Wamewahi kuuona huo uzima wa milele?
Kwani mtu anapojiamulia yeye mwenyewe, kwa nauli yake, kwenda kuhiji hija yake mwenyewe, kwa muda wake mwenyewe, hapo kapinga vipi maendeleo ya nchi?

Mkuu ushawahi kusoma Universal Declaration of Human Rights kuhusu uhuru wa kuabudu?

Unaelewa kwamba Rwanda ni mwanachama wa UN na AU na ni mtia saini kwenye mikataba hii ya kimataifa?

Uzima wa milele ni jambo la imani. Hauhitaji kuwa kweli ili kuwa valid kama jambo la imani.

Haki ya kuwa na imani anayoitaka mtu ni haki ya binadamu, bika kujali hiyo imani ni ya ukweli au si ya kweli.

Mimi ni atheist. Siamini uwepo wa Mungu wala dini, siamini malaika wala uzima wa milele.

Lakini naelewa kwamba watu wanatakiwa kuwa na uhuru wa kuamini wanavyotaka, au kutoamini wanavyotaka.

Kagame kuingilia haki hii ya kibinadamu ni kufungua mlango utakaoweza kumruhusu Kagame kuingikia imani, au kujosa imani, kwa watu.

Leo kawaingilia Wakatoliki, mkimuachia, kesho anaweza kutuingikia atheists akatuamuru tuende kusaki kanisa analolitaka yeye.
 
TLDR

1. Mimi ni atheist. Siamini katika uwepo wa Mungu. Naamini dini ni kitu kilichotengenezwa na watu tu kupigana na hali zao.

2. Licha ya 1 hapo juu, naamini dini ni kitu personal na haki ya mtu kuabudu anavyotaka ni ya msingi sana na haitakiwi kuingiliwa na serikali wala rais. Wajuzi wa falsafa wamejua hili na kuweka "Univwrsal Declaration of H7man Rights.

3. Kutoka 2 hapo juu. Haki ya kuabudu ya mtu binafsi haibagazwi. Hainyanyapaliwi. Iwe imani ya mtu ni ya kwenye ukweli au uongo, iwe imani hiyo inaleta maendeleo au haiketi. Hii ni haki ya mtu binafsi, haiingiliwi.

4. Kagame is being ignorant and a laughingstock of the world for this move.

Kama watu wako wajinga, waelimishe. Usiwalazimishe.

Kwa kiasi kikubwa haya mi matokeo ya watu kukosa elimu na kukosa imani kwenye mifumo ya kiserikali kama ya afya na elimu.
 
"No one must worship poverty. Do not ever do that again... If I ever hear about this again, that people travelled to go and worship poverty, I will bring trucks and round them up and imprison them, and only release them when the poverty mentality has left them," said Kagame, himself a Catholic
 
Maskini Kagame hana analoelewa kuhusu kuhiji,hii haina tofauti na watu wa dini nyingine wanapoenda kuhiji sehem takatifu.But ukiona hivyo ujue mwisho wake ukaribu
 
Kiu halisia hakuna sehemu yoyote inayoonyesha katika biblia eti mama yake yesu alifufuka hakuna baba angeamua angeriamulu hata jiwe litoe mtoto je mngekuwa mnaliheshimu jiwe huu ni ujinga mtu akifa hatambui chochote kama ilivyoandikwa baada ya kifo ni kusubiri hukumu au meme ya muungu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata hiyo Biblia unayosoma wameamua kanisa Katoliki kipi usome kipi kibaki maktaba ya Vatican.

Kwa hiyo Heshimu Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume
Yangekuwa ni matakwa ya kanisa katoliki basi biblia isingekuwa na amri ya utunzaji wa sabato na ya kuzuia kuabudu sanamu
 
... Kibeho inakumbukwa pia kwa mauaji yaliyofanywa na na vikosi vya RPF dhidi wa wakimbizi wengi wa vita, Wahutu, miaka hiyo!
... connecting the DOTS!
 
Back
Top Bottom