Rais Paul Kagame aahidi kuwasweka gerezani mahujaji wa Kikatoliki wanaotukuza ufukara

 
Tumeokoteza nini? Kwa hiyo unaoingana na habari iliyorushwa na chombo cha Kimataifa?
 
 
Mdini kivipi?
Amefanya sahihi. Hawa watu hawako kwa ajili ya maendeleo ya watu
Kwani kila mtu kakwambia anataka maendeleo?

Kuna watu hawataki maendeleo ya dunia hii, wanataka uzima wa milele mbinguni.

Utawakatalia wasitake uzima wa milele kidini kwa kutumia haki yao ya kibinadamu?
 
Washauri Ccm wenzako wamuige Kagame
wanaweza kumuiga kagame? huko Rwanda kiongozi wa dini lzm uwe na elimu sio mbumbumbuu hawa wanaounga mkono bandari kisa TEC wamepinga mkataba
 
waislam mnapenda udaku , kiufupi mjifunze kujadili mambo kwa uono wa kesho , leo katoliki kesho Kagame anahamia kwa waislam walea ugaidi
 
Anakiribia kuanguka huyo kiutalawa ,Catholic hawagusiki.
at times mnawa-overrate. Martin fayulu na kanisa lake wameishia wapi huko kongo? Nyerere alipokuwa anapitisha sheria ya Ndoa miaka ya 70, RC waliipinga, Nyerere alipoona wanamuendesha, aliwaambia hapitishi Sheria kwa ajili ya wakatoliki, 2010 kwenye uchaguzi ule walipiga kampeni kali dhidi ya JK, walishindwa, walimfanya nini? Wana nguvu na ushawishi, ila mna-waoverrate sana!
 
Kwani kila mtu kakwambia anataka maendeleo?

Kuna watu hawataki maendeleo ya dunia hii, wanataka uzima wa milele mbinguni.

Utawakatalia wasitake uzima wa milele kidini kwa kutumia haki yao ya kibinadamu?
Kwa hiyo ndo wapinge maendeleo ya nchi ya mambo yao ya uzima wa milele? Wamewahi kuuona huo uzima wa milele?
 
waislam mnapenda udaku , kiufupi mjifunze kujadili mambo kwa uono wa kesho , leo katoliki kesho Kagame anahamia kwa waislam walea ugaidi
Nani Muislamu? Udaku gani?

Mimi nimeandika jambo kwa kuangalia msingi wa haki za binadamu.

Specifically "Universal Declaration of Human Rights" since 10 December 1948.

Rwanda ni nchi mwanachama wa Umoja wa Mataifa na Umoja wa Africa na imesaini mikataba mingi ya kimataifa inayotoa haki ya kuabudu kama haki ya binadamu.

Rais Kagame anachofanya ni kuvunja mikataba hii ya kimataifa.

Tubishane kwenye hoja. Mimi ni mtu nisiyeamini uwepo wa Mungu, wala sina dini.

Watu wanaonifuatilia wanajua hilo.

Ndiyo maana nakushangaa unapoandika "Waislamu mnapenda udaku".

Ulikuwa unanijibu mimi au mtu mwingine?
 
Kwa hiyo ndo wapinge maendeleo ya nchi ya mambo yao ya uzima wa milele? Wamewahi kuuona huo uzima wa milele?
Kwani mtu anapojiamulia yeye mwenyewe, kwa nauli yake, kwenda kuhiji hija yake mwenyewe, kwa muda wake mwenyewe, hapo kapinga vipi maendeleo ya nchi?

Mkuu ushawahi kusoma Universal Declaration of Human Rights kuhusu uhuru wa kuabudu?

Unaelewa kwamba Rwanda ni mwanachama wa UN na AU na ni mtia saini kwenye mikataba hii ya kimataifa?

Uzima wa milele ni jambo la imani. Hauhitaji kuwa kweli ili kuwa valid kama jambo la imani.

Haki ya kuwa na imani anayoitaka mtu ni haki ya binadamu, bika kujali hiyo imani ni ya ukweli au si ya kweli.

Mimi ni atheist. Siamini uwepo wa Mungu wala dini, siamini malaika wala uzima wa milele.

Lakini naelewa kwamba watu wanatakiwa kuwa na uhuru wa kuamini wanavyotaka, au kutoamini wanavyotaka.

Kagame kuingilia haki hii ya kibinadamu ni kufungua mlango utakaoweza kumruhusu Kagame kuingikia imani, au kujosa imani, kwa watu.

Leo kawaingilia Wakatoliki, mkimuachia, kesho anaweza kutuingikia atheists akatuamuru tuende kusaki kanisa analolitaka yeye.
 
TLDR

1. Mimi ni atheist. Siamini katika uwepo wa Mungu. Naamini dini ni kitu kilichotengenezwa na watu tu kupigana na hali zao.

2. Licha ya 1 hapo juu, naamini dini ni kitu personal na haki ya mtu kuabudu anavyotaka ni ya msingi sana na haitakiwi kuingiliwa na serikali wala rais. Wajuzi wa falsafa wamejua hili na kuweka "Univwrsal Declaration of H7man Rights.

3. Kutoka 2 hapo juu. Haki ya kuabudu ya mtu binafsi haibagazwi. Hainyanyapaliwi. Iwe imani ya mtu ni ya kwenye ukweli au uongo, iwe imani hiyo inaleta maendeleo au haiketi. Hii ni haki ya mtu binafsi, haiingiliwi.

4. Kagame is being ignorant and a laughingstock of the world for this move.

Kama watu wako wajinga, waelimishe. Usiwalazimishe.

Kwa kiasi kikubwa haya mi matokeo ya watu kukosa elimu na kukosa imani kwenye mifumo ya kiserikali kama ya afya na elimu.
 
"No one must worship poverty. Do not ever do that again... If I ever hear about this again, that people travelled to go and worship poverty, I will bring trucks and round them up and imprison them, and only release them when the poverty mentality has left them," said Kagame, himself a Catholic
 
Maskini Kagame hana analoelewa kuhusu kuhiji,hii haina tofauti na watu wa dini nyingine wanapoenda kuhiji sehem takatifu.But ukiona hivyo ujue mwisho wake ukaribu
 
Kiu halisia hakuna sehemu yoyote inayoonyesha katika biblia eti mama yake yesu alifufuka hakuna baba angeamua angeriamulu hata jiwe litoe mtoto je mngekuwa mnaliheshimu jiwe huu ni ujinga mtu akifa hatambui chochote kama ilivyoandikwa baada ya kifo ni kusubiri hukumu au meme ya muungu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata hiyo Biblia unayosoma wameamua kanisa Katoliki kipi usome kipi kibaki maktaba ya Vatican.

Kwa hiyo Heshimu Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume
Yangekuwa ni matakwa ya kanisa katoliki basi biblia isingekuwa na amri ya utunzaji wa sabato na ya kuzuia kuabudu sanamu
 
... Kibeho inakumbukwa pia kwa mauaji yaliyofanywa na na vikosi vya RPF dhidi wa wakimbizi wengi wa vita, Wahutu, miaka hiyo!
... connecting the DOTS!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…