Tetesi: Rais Paul Kagame kufunguliwa mashitaka The Hague kwa uhalifu nchini Congo DRC

Tetesi: Rais Paul Kagame kufunguliwa mashitaka The Hague kwa uhalifu nchini Congo DRC

Inadaiwa mlengwa sio mwingine bali ni Rais wa Rwanda Paul Kagame.

Tusubiri tuone kama watafanikiwa kumnasa Chuma cha Pua.
Huenda wamechukizwa na ile kauli "...there is a city in Africa cleaner than New York ikatajwa Kigali"
 
Back
Top Bottom