Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Hayati Magufuli aliingia Hazina kukiwa kumepigwa sana hamna kitu, Samia naye ameingia watu wamepiga sana pesa Hazina hakuna kitu.
Watu wanajua wakati wa Uchaguzi ndio wakati wa kupiga pesa za umma. Na kwa kuwa watanzania ni wapole. Wanamwachia Mungu. Mungu naye anawatizama anasema "nyie mabwege kweli pesa zenu ambazo nimewapa akili mzisimamie mnataka nazo mimi ndio niwaangalizie"
Anatuachia sisi wenyewe. Mwisho wa siku anaachiwa Shetani na watoto wake. Wanachukua pesa wanajilimbikizia nyingi sana. Wananogewa na Uongozi hawataki kutoka. Wanaendelea kupokezana kijiti. WANALAMBA ASALI.