Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Hebu tukumbushe hapa.Hata Magufuli aliacha pesa mingi,
Kama huamini waulize Ile ripoti ya nn kilikuwamo Kwa KIBUBU alipofariki kwanini imekaliwa😳😳
Waonao yaIiyojificha wanasema, baada ya mjomba kufariki,Hebu tukumbushe hapa.
Hivi nani aliwaambia watu kuwa hazina ni kakibuyu kamejaa pesa? Hakuna mtu huacha pesa hazina.Hayati Magufuli aliingia Hazina kukiwa kumepigwa sana hamna kitu, Samia naye ameingia watu wamepiga sana pesa Hazina hakuna kitu.
Watu wanajua wakati wa Uchaguzi ndio wakati wa kupiga pesa za umma. Na kwa kuwa watanzania ni wapole. Wanamwachia Mungu. Mungu naye anawatizama anasema "nyie mabwege kweli pesa zenu ambazo nimewapa akili mzisimamie mnataka nazo mimi ndio niwaangalizie"
Anatuachia sisi wenyewe. Mwisho wa siku anaachiwa Shetani na watoto wake. Wanachukua pesa wanajilimbikizia nyingi sana. Wananogewa na Uongozi hawataki kutoka. Wanaendelea kupokezana kijiti. WANALAMBA ASALI.
Jiwe aliacha hela nyingi sanaHayati Magufuli aliingia Hazina kukiwa kumepigwa sana hamna kitu, Samia naye ameingia watu wamepiga sana pesa Hazina hakuna kitu.