ICC kazi kwao kumkamata, yupo Ukraine anavinjari mitaa ya mauripol
Your browser is not able to display this video.
===
Rais wa Urusi Vladimir Putin na Rais pendwa duniani ama mwamba wa dunia jana amefanya ziara ya kushtukiza katika rasi ya Crimea katika kuadhimisha miaka tisa tangu alipoinyakua kutoka Ukraine
Putin aliutembelea pia mji wa Ukraine wa Mariupol unaokaliwa kimabavu huku Mahakama ya wazungu wa ulaya magharibi wakibaki midomo wazi wasijue cha kumfanya.
Ziara ya Putin inajiri siku chache baada ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ICC kutoa waranti wa kukamatwa kwake kwa uhalifu wa kivita, ikimtuhumu kwa uwajibikaji katika utekaji nyara wa watoto nchini Ukraine.
Moscow imetupilia mbali uamuzi wa Mahakama hiyo. Kyiv inasema tangu kuanza kwa uvamizi huo Februari 2022, zaidi ya watoto 16,000 wa Ukraine walihamishwa kinyume cha sheria kuelekea Urusi. Wakati huo huo, mapigano makali yanaendelea huko Donetsk hasa katika mji wa Bakhmut.

Mwamba ametua huko huko Ukraine
kama mwanachama na raia wa marekani ya kimboka, miliopo nyegezi ..wamrekani wa kisijui, wa makutopora wa huko kutukuy mna ushauri gani?
unaambiwa anga lote lilifungwa huko NATO wakibaki midomo wazi kila mmoja akimuuliza mwenzie nani wa kumkamata mwamba huyu
Rais wa Urusi Vladimir Putin na Rais pendwa duniani ama mwamba wa dunia jana amefanya ziara ya kushtukiza katika rasi ya Crimea katika kuadhimisha miaka tisa tangu alipoinyakua kutoka Ukraine...
Nilitaka nianzishe uzi wa hii ziara nikakuta tayari umeniwahi. Kichwa changu cha habari kingekuwa Putin afanya ziara kukagua miradi ya maendeleo Crimea na Mariupol
Kwa sababu wakati askari wa Ukraine wakitajwa kufanya vizuri kuviendesha vifaru vya challenger 1 jna 2 vya UK taarifa zinaonesha miji ya Crimea na Mariupol imeshabadili mifumo yote kuanzia mabenki mpaka mitaa kuwa ya kirusi.Watu wake wameshachukua paspoti za Urusi.
Rais wa Urusi Vladimir Putin na Rais pendwa duniani ama mwamba wa dunia jana amefanya ziara ya kushtukiza katika rasi ya Crimea katika kuadhimisha miaka tisa tangu alipoinyakua kutoka Ukraine...
===
Rais wa Urusi Vladimir Putin na Rais pendwa duniani ama mwamba wa dunia jana amefanya ziara ya kushtukiza katika rasi ya Crimea katika kuadhimisha miaka tisa tangu alipoinyakua kutoka Ukraine
Putin aliutembelea pia mji wa Ukraine wa Mariupol unaokaliwa kimabavu huku Mahakama ya wazungu wa ulaya magharibi wakibaki midomo wazi wasijue cha kumfanya.
Ziara ya Putin inajiri siku chache baada ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ICC kutoa waranti wa kukamatwa kwake kwa uhalifu wa kivita, ikimtuhumu kwa uwajibikaji katika utekaji nyara wa watoto nchini Ukraine.
Moscow imetupilia mbali uamuzi wa Mahakama hiyo. Kyiv inasema tangu kuanza kwa uvamizi huo Februari 2022, zaidi ya watoto 16,000 wa Ukraine walihamishwa kinyume cha sheria kuelekea Urusi. Wakati huo huo, mapigano makali yanaendelea huko Donetsk hasa katika mji wa Bakhmut.
[emoji264] [emoji635][emoji288]Putin:"If we still decide not to extend the "grain deal" after 60 days, then we are ready to deliver all the volume that was sent to the countries in need in Africa during the previous time from Russia to these countries for free."